Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mudrky anakaribia kutua Arsenal

€90-95m Full package
IMG-20230113-WA0059.jpg
 
Kutoka ligi dhaifu ya Ukraine kuja kucheza ligi ngumu EPL na kuperfom kuna changamoto kidogo,,,, thou inawezekana pia

Kuna baadhi ya wachezaji watahitaji muda wa kuadapt na wengine hawahitaji muda wakifika tu wanakiwasha!

Hii ligi Ni competitive sana, wengi tumeona wakuja kutoka huko farmer's league na kuchemka vibaya mno !

Mudryk Ni mchezaji mzuri Sana, ana skills za kutosha, stats zake Ni nzuri pia ! Shida Ni moja tu Moto anaouwasha kule ataweza kuuwasha the same/above akija EPL ?

Usajili Ni kamari, wacha tuone, maana mzigo mnaoutoa Ni mkubwa 70m plus adds on, na hapo mmesubmit tu, shaktar hawajakubali,,,, wanawatega muongeze !!!
Kwenye transfer market zipo aina mbili direct/indirect contact na ndiyo maana kwa Mudryk , Arsenal wanafanya indirect contact transfer market. Lakini pia Arsenal wanaangalia vigezo vingi hawajaingia kichwa kwenye huo usajili.

Mchezaji mwenyewe ameamua timu anayotaka kucheza
 
Mwanzoni lilikuwa wazo la Arteta kumtumia Zinchenko kama beki wa kushoto wa Manchester City. Zinchenko alikuwa amewasili Uingereza kama kiungo mshambuliaji, na hakuwa amesahau kile Arteta alimfanyia huko Manchester.

(@SamJDean)- Telegraph
IMG_20230113_153839.jpg
 
Tangu Zinchenko alipoingia kwenye kikosi cha Arsenal, amekuwa mmoja wa wachezaji wenye sauti kubwa kwenye kikosi .

Ujumbe wake kwa wachezaji-wenza : wana uwezo wa kushinda ligi hii na hawapaswi kuogopa chochote

(@SamJDean)- Telegraph
 
Arsenal this season With and without Oleksandr Zinchenko

In the Premier League this season, Zinchenko averages more successful passes and progressive passes per game than any other Arsenal player

(@SamJDean )

telegraph.co.uk/football/2023/…
IMG_20230113_155616.jpg
 
Viungo wavunja kuni ,siwapendi ,napenda DM Kama Partey ,Rodri , Gorginho , FDJ ,

Nipe ubora wa Rice kwa mpira hasa huu tunaocheza ambao unahitaji DM awe na accuracy kubwa Sana ya upigaji pass kuliko kufanya tackling
Rice anacheza timu yoyote duniani ht Barcelona, unataka kuaminisha umma Rice hana pass accuracy? You're so annoying!
 
Arsenal tunatakiwa kufanya usajili wa Douglas Luiz.

Luiz ni Defensive Midfielder na anaweza kucheza kama CM na CLB kwenye uhitaji. Usajili wa Luiz ni sawa na ingizo la wacheji wawili kwa mpigo maana anaweza ku-offer zaidi.

Luiz anaweza kucheza kama back-up ya Partey, Kucheza nafasi ya Xhaka na kucheza nafasi ya Gabriel tukiwa na uhitaji.
 
Huyo acha acheze Aston villa, kwenye position ya Partey tunahitaji mchezaji established, kimo km partey, physical prowess, mental side of the game, aje kufundishwa how to control games thru technical emphasis + Juego de posicion ya kiespaniola, Declan Rice kwangu ni mtu sahihi, naamini tutakuwa na pesa nxt summer. Unajua partey & Rodrigo mbali ya kuwa na vipaji lakini wamepata bahati ya kufundishwa na makocha wa kiespaniola ambao walikuwa wanacheza position hizohizo.
 
Arsenal tunatakiwa kufanya usajili wa Douglas Luiz.

Luiz ni Defensive Midfielder na anaweza kucheza kama CM na CLB kwenye uhitaji. Usajili wa Luiz ni sawa na ingizo la wacheji wawili kwa mpigo maana anaweza ku-offer zaidi.

Luiz anaweza kucheza kama back-up ya Partey, Kucheza nafasi ya Xhaka na kucheza nafasi ya Gabriel tukiwa na uhitaji.
Arsenal ilishaachana nae huyu Luiz, na aliongeza mkataba mrefu ,
 
Back
Top Bottom