Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Djourou Na Almunia wataboost idara ya ulinzi kwani Kolo akicheza na Djourou wanakuwa best partner kuliko ilivyo sasa. Gibbs apumzike ni beki mzuri ila utoto wake unamfanya ashindwe kufit presha ya game kubwa kama tulizocheza na zinazokuja mbele yetu so 1. Almunia 2. Sagna 3. Silvestre 4. Djourou 5. Kolo. Tumuombe Mungu Asitokee jeruhi mpaka siku tunakuwa machampion wa ulaya inshaallah. Ninaongea hivo sababu naamini CL njia nyeupe na ni ukweli usiopingika kuwa Man U hawauwezi mziki wetu na ushahidi wa hilo ni pale Le prof Wenger alipochezesha kikosi hafifu dhidi ya Chelsea kwenye FA Cup Babu Fergie nae akaiga ili apumzishe kikosi chake mahiri ili kuwapunguzia uchovu. Kwenye Mechi za kesho namnukuu namnukuu Le prof "Of course [resting players against Middlesbrough] is in our thoughts but the best way to prepare for the Champions League is to win games in the Premier League." so amedhamiria kufika final ya CL naamini Swala la kumaliza top 4 kwenye PL lipo wazi sana sana tuwe tunatafuta nafasi ya 3 ambalo linawezekana.

Dondoo za majeruhi.

Arsenal may welcome back Manuel Almunia, Johan Djourou and Emmanuel Adebayor for the visit of Middlesbrough on Sunday.

"Manuel Almunia was in full training today and we'll see how he responds. Djourou was in full training also so we'll see how he is too. Both could come back into the squad. It is not enough training to say [for sure] yet we need 48 hours more.

"Emmanuel Adebayor should come back into the training on Saturday. He could be in the squad.

"But Robin van Persie is definitely out for Sunday and for Manchester United.

"Gael Clichy could be back for the second Manchester United game. He has a scan on Monday. We'll go from there. He has a chance to be back in full training next week."

Wenger also confirmed that William Gallas (knee) and Tomas Rosicky (hamstring tendon) will definitely miss the rest of the season.
 
Mbu..
Umekuwa mzalendo kweli kwa kuitetea na kuipenda Arsenal, mpaka raha yani!
Haina ubaya mkigawana vikombe na Man Utd. Mshinde jamani,sipendi kuwaona vijana wakilia lia maana burudani uwanjani mmnayo ila vikombe viko wapi? All the best dhidi ya Man Utd.
Mimi sina presha, timu yangu ni Polisi Dodoma, ha ha!..

...ha ha haaaa....'janja ya nyani eeeh!'

~mie iko kisha ng'amua upande wewe nasimamia~​

...kuna mahala niliona umeteleza ulimi ukasema;

"...sie (Man U)...!"​

Kama wewe Police Dodoma, mimi CDA au Waziri Mkuu Dodoma!!! (unazikumbuka team hizo?) :D
 
Djourou Na Almunia wataboost idara ya ulinzi kwani Kolo akicheza na Djourou wanakuwa best partner kuliko ilivyo sasa. Gibbs apumzike ni beki mzuri ila utoto wake unamfanya ashindwe kufit presha ya game kubwa kama tulizocheza na zinazokuja mbele yetu so 1. Almunia 2. Sagna 3. Silvestre 4. Djourou 5. Kolo. Tumuombe Mungu Asitokee jeruhi ...

...dah, ndugu yangu wewe bado unaombea Silvestre avae jezi tukicheza na Man U? unajua upande ule ndio kuna Christiano Ronaldo maaazzeee?

Bora huyo huyo Gibbs!....

Djourou akirudi angalau tutakuwa na options za Sagna, Eboue, Toure, Gibbs kwenye defence, acha Silvestre abakie benchi!
 
...ha ha haaaa....'janja ya nyani eeeh!'​

~mie iko kisha ng'amua upande wewe nasimamia~​

...kuna mahala niliona umeteleza ulimi ukasema;​

"...sie (Man U)...!"​

Kama wewe Police Dodoma, mimi CDA au Waziri Mkuu Dodoma!!! (unazikumbuka team hizo?) :D

Si unajua kujifanya nipo sipo kumbe wapi!..Mimi nashabikia timu inayoshinda,mambo ya kudata sitaki. Ukiwa mshabiki damu hadi unaumia na wewe mara kukosa raha, sasa sijui wachezaji na makocha wao wanakuwaga na hali gani kama mshabiki anahuzunika. Football is fun kwakweli!
Ila kweli Police Dodoma nawapenda sana japo siwafuatilii siku hizi. Nazikumbuka hizo timu.
 
Mimi sio mshabiki wa Arsenal wala Man utd bali ile timu ya Uk ambayo mshindi kt ya hizo timu 2 nilizozitaja hapo atacheza nae,ukiangalia staili ya mchezo wa Arsenal na staili ya Man utd,amini amini nawaambia mwisho wa Mashetani wekundu umefikia CL.hata akicheza Silvestre kwenye defence kama Arseanal atacheza mpira wake tuliouzoea ataenda final ila mkijichanganya na nyie mkataka kutumia short cut kupata magoli mmekwisha,kumbukeni yaliyowakuta Wembley j'mosi,mlifungwa kwa ajili tu mliacha staili ya mchezo mliyoizoea.ila nilikuwa natamani sana nikutane na hao mashetani huko Rome ili tuwashikishe adhabu.
Mancherster ana game mbili ngumu za league ,hivyo Liverpool inaweza kufaidika katika mechi hizo mbili za jumamosi kati ya Man U vs Tottenham, na ile dhidi ya Middlesbrough kwani na uhakika Man hawatoingiza timu kamili wakihofia mechi na Arsenal. Hivyo Liverpool bado ananafasi ya ubingwa kama Man wakijikwaa kwenye hizi mechi 2, hasa ikizingatia Manchester bado anasubiriwa na Arsenal ktk mechi ya pili toka mwisho.
Ni Mtazamo wangu ambao una ukweli mkubwa ndani yake.
 
nikweli MBU lakini ukiangalia game na liverpool kuyt naona alipiga cross nyingi sana. Na kama unakumbuka game na Man ya PL mzunguko wa kwanza Silvestre alicheza vizuri, anyway sipingani sana na wewe
 
Hey wazee vipi mambo ya arshavin naona man wameanza kumuota

timu inatia moyo kwa sasa mazee lakini huku gomsi ni issue mechi kubwa tunaaangalia mpaka kwa mia nane na mimi karibu nitafunga ungo wangu nahisi klabu bingwa kati ya arsenal na man itakuwa book

"it is better to die free than to live as a slave by mjomba marcus mozia gavey " vijana wa kamanija wanakumbuka sana misemo hii
 
...na Kisale unashabikia Man U...![/QUOTE]

Mbu!katika timu ambayo siipendi ni Man utd.najua umesoma post yangu umenielewa ndio sababu uknifanyia utani wa namna hii.
 
"Robin van Persie out of Arsenal's Champions League game with Manchester United
Arsenal's Dutch striker Robin van Persie has been ruled out of the club's Champions League semi-final first leg against Manchester United."​

~IKUMBUKWE, HUYU MHOLANZI NDIO MWIBA MKALI KWENYE NGOME YA MAN U KILA TUKIPAMBANA NAO!!!~ :(

Mweh!!
 
Mimi sio mshabiki wa Arsenal wala Man utd bali ile timu ya Uk ambayo mshindi kt ya hizo timu 2 nilizozitaja hapo atacheza nae,ukiangalia staili ya mchezo wa Arsenal na staili ya Man utd,amini amini nawaambia mwisho wa Mashetani wekundu umefikia CL.hata akicheza Silvestre kwenye defence kama Arseanal atacheza mpira wake tuliouzoea ataenda final ila mkijichanganya na nyie mkataka kutumia short cut kupata magoli mmekwisha,kumbukeni yaliyowakuta Wembley j'mosi,mlifungwa kwa ajili tu mliacha staili ya mchezo mliyoizoea.ila nilikuwa natamani sana nikutane na hao mashetani huko Rome ili tuwashikishe adhabu.
Mancherster ana game mbili ngumu za league ,hivyo Liverpool inaweza kufaidika katika mechi hizo mbili za jumamosi kati ya Man U vs Tottenham, na ile dhidi ya Middlesbrough kwani na uhakika Man hawatoingiza timu kamili wakihofia mechi na Arsenal. Hivyo Liverpool bado ananafasi ya ubingwa kama Man wakijikwaa kwenye hizi mechi 2, hasa ikizingatia Manchester bado anasubiriwa na Arsenal ktk mechi ya pili toka mwisho.
Ni Mtazamo wangu ambao una ukweli mkubwa ndani yake.
Kwani Liverpool hana game ngumu ,ana mechi na West HAM ugenini then mechi ya mwisho anacheza na Spurs
BTW-Endelea kumuomba Mungu Man afungwe
 
Arsenal vs Middlesbrough

Arsenal;

Manuel Almunia

Emmanuel Eboue
Kolo Toure
Mikael Silvestre
Kieran Gibbs
Theo Walcott
Cesc Fabregas (c)
Denilson
Samir Nasri
Andrey Arshavin
Nicklas Bendtner

Substitutes;

Abou Diaby
Bacary Sagna
Carlos Vela
Alex Song
Johan Djourou
Lukasz Fabianski
Emmanuel Adebayor

...Hivi Eduardo kapotelea wapi?
 
Mimi sio mshabiki wa Arsenal wala Man utd bali ile timu ya Uk ambayo mshindi kt ya hizo timu 2 nilizozitaja hapo atacheza nae,ukiangalia staili ya mchezo wa Arsenal na staili ya Man utd,amini amini nawaambia mwisho wa Mashetani wekundu umefikia CL.hata akicheza Silvestre kwenye defence kama Arseanal atacheza mpira wake tuliouzoea ataenda final ila mkijichanganya na nyie mkataka kutumia short cut kupata magoli mmekwisha,kumbukeni yaliyowakuta Wembley j'mosi,mlifungwa kwa ajili tu mliacha staili ya mchezo mliyoizoea.ila nilikuwa natamani sana nikutane na hao mashetani huko Rome ili tuwashikishe adhabu.
Mancherster ana game mbili ngumu za league ,hivyo Liverpool inaweza kufaidika katika mechi hizo mbili za jumamosi kati ya Man U vs Tottenham, na ile dhidi ya Middlesbrough kwani na uhakika Man hawatoingiza timu kamili wakihofia mechi na Arsenal. Hivyo Liverpool bado ananafasi ya ubingwa kama Man wakijikwaa kwenye hizi mechi 2, hasa ikizingatia Manchester bado anasubiriwa na Arsenal ktk mechi ya pili toka mwisho.
Ni Mtazamo wangu ambao una ukweli mkubwa ndani yake.

game ngumu moja tu na wigan basi, zingine mwaaaa mwaaaaa tu; kombe lishaena!
 
game ngumu moja tu na wigan basi, zingine mwaaaa mwaaaaa tu; kombe lishaena!

Yep, with the help of refs ubingwa ni wenu. Tukiachilia yale ya jana, nimeiangalia ile gemu ya Portsmouth goli la 2 najitahidi kujiconvis kuwa Giggs hakuwa offside lakini nimeshindwa..
 
Arsenal vs Middlesbrough

Arsenal;

Manuel Almunia

Emmanuel Eboue
Kolo Toure
Mikael Silvestre
Kieran Gibbs
Theo Walcott
Cesc Fabregas (c)
Denilson
Samir Nasri
Andrey Arshavin
Nicklas Bendtner

Substitutes;

Abou Diaby
Bacary Sagna
Carlos Vela
Alex Song
Johan Djourou
Lukasz Fabianski
Emmanuel Adebayor

...Hivi Eduardo kapotelea wapi?

Mpaka sasa ni dk ya 87 Arsenal 2(fabregas dk ya 26 na 27)-Boro 0
 
Yep, with the help of refs ubingwa ni wenu. Tukiachilia yale ya jana, nimeiangalia ile gemu ya Portsmouth goli la 2 najitahidi kujiconvis kuwa Giggs hakuwa offside lakini nimeshindwa..
ushindi ni ushindi tu iwe kwa msaada wa macheda, refa, linesman et al, poouwa kabisa.
 
Back
Top Bottom