Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Namuaminia Wenger kwa secret deals, I believe by the end of this transfer deadline kutakuwa na a shock signing ya Arsenal, si unakumbuka usajili wa Gallas? Reyes? deal zote hizo zilipigwa kimyakimya kwa kuwa mitimu yenye hela za mchezo ikiskia tu Prof. anamfutilia mchezaji flani inakwenda mbio na kupanda dau, naskia anamuulizia Kalou huku darajani, lets wait and see.

Target kubwa ya Wenger ni kwa Jonathan De Guzman wa FEYENOORD ambapo kuna tetesi katenga Paundi million 30 kumchukua midfielder huyo wa FEYENOORD ya Uholanzi
 
Target kubwa ya Wenger ni kwa Jonathan De Guzman wa FEYENOOrD ambapo kuna tetesi katenga Paundi million 30 kumchukua midfielder huyo wa FEYENOORD ya Uholanzi

mkuu ni paundi milioni 30 au?
hivi unajua wenger toka chekechea anasomea nini?
 
mkuu ni paundi milioni 30 au?
hivi unajua wenger toka chekechea anasomea nini?

Najua ni mchumi but according to Danny Fiszman,an Arsenal director,has revealed that Arsene Wenger can spend up to 30 million pounds before the transfer window closes.FEYENOORD's Jonathan De Guzman remains the possibility.....Labda nimemuelewa vibaya Fiszman
 
paundi millioni 30 sio kwa mchezaji mmoja kaka...
hizo ni kwa ajili ya usajili.
NB: wenger miezi yote kwake ni ramadhani yaani anajinyima mpaka kula na ndo maana hanenepi, sasa je anaweza kutoa hela hizo kwa ajili ya mchezaji mmoja?......thubutu
 
If you want to make yourself a serious contender for the title, you should win against the likes of Hull and Fulham, game hizi za vitimu vidogo ndio zilizotunyima ubingwa last season, we should have won against Birmingham and Wigan- and with those six point we would have won it, and now who knows? Maybe at the end of this season these two winnable games that we have sadly lost will be the difference again.
 
dat has been de tatizo la arsenali misimu kibwena,miaka nenda miaka rudi!!yet u still support kale kababu kenu mmmumwitaye profesa sijui,mmeshaanza kamatia nafasi zenu za nne na tano...wenzenu wajanja huanziaga chini na kupanda juu but nyie misimu yooote mnaanzaga juu na kushuka!
 
Magoli ya kutaka kumpiga chenga mpaka na golikipa ni magumu mno. Haiwezekani muingie kwenye penalty area zaidi ya mara 10 na kuishia kupata kagoli kamoja. Hili inabidi Wenger alibadilishe haraka sana au tutakuwa na msimu mwingine wa majonzi pia ahakikishe anapata wafungaji wengine wawili watatu December au January.
 
Kama Ganaz wanaongoza over timu yako hamna haja ya kuwa na wasiwasi.....uchezaji wao si wa kutafuta mataji, they just keep running in the pitch aimlessly.
And the loss against Hull might lead to a series of losses (sababu Ganaz wanapopoteza mechi wanapoteza na kujiamini kwao - wanachukua muda kurudisha kujiamini kwao).
Pole Ganaz!
 
Ganaz watakuja kufanya vizuri pindi tu watakapoachana na sera yao ya kutumia wachezaji wa mia tano mia tano.Ukampambanishe mtoto wa kiume na mwanaume,unategemea nini.Na hapo bado hawajaanza kuumia!
 
Nadhani tatizo siyo mchezaji wa bei gani kwani bei nyingine huwa haziendani na jinsi mchezaji atakavyokuwa kama Shev aliponunuliwa na the Blues. Kubwa ni kule kutokuwa na wachezaji mbadala ambao pindi ikitokea mmoja anumia basi pengo lake linaweza kuzibika with consistence hasa pale nyuma na forward. Nadhani bado mapema kukata tamaa. Wenger has lerned the lession atafanya kitu.
 
Wenger atake asitake lazima akubali kwamba hana a lethal finisher,thiery henry type.hawa kina van persie na adebayor hovyo kabisa,bora hata eduardo aliyeumia kidogo alikuwa accurate.you can not just miss ten out of ten halafu unajiita striker na kibaya zaidi unadai uongezewe mshahara,kwa lipi hasa,damn adebayor!!!!!!!!!!!
 
Poleni jamani!, naona HULL CITY jazu kawa kama kipofu vile aliyeona mwezi!

Timu yenu mimi sina cha kuchangia bwana, lets wait ikifika January, February na March the time timetable is damn Hectic tuone kama kweli kumchezesha Fabregas/Denilson holding midfield ni akili au matope...!
 
Matatizo yetu tunayaelewa A: hatuna DM tokea aondoke Flamini, Diaby akipona atachukua nafasi ya Denilson, B: Galas na Toure ni mapepe katika kuokoa Set pieces, ukiangalia karibia magoli yote tunayofungwa ni aidha Kona ama free kick, pressure iko kwa Wenger kumchezesha Djourou badala ya Gallas. C: hatuna (Box player) ukiangalia mechi ya Porto au Hull tumepata kona nyingi na winga wetu wanapeleka krosi nyingi lakini kila mara utakuta hakuna mtu ndani ya boksi, Ade yuko nje ya box ama karibu na kibendera cha kona, tunamuhitaji Dudu apone haraka na matokeo yake mutayaona. Tukirekebisha hayo basi mambo sio mabaya, tukirekebisha hizi idara naamini tutashinda kombe moja kati ya mawili Champion league ama PL.
 
Wenger inatakiwa aanze kuwaweka benchi hawa watoto wake wasioperform sasa....wameloose 5 points kwenye two games hapo bado hawajacheza na vigogo.
 
Poleni jamani naona msimu huu mnaanza kuchemsha mapema
 
Wenger inatakiwa aanze kuwaweka benchi hawa watoto wake wasioperform sasa....wameloose 5 points kwenye two games hapo bado hawajacheza na vigogo.

Ica...!
Awaweke benchi akina nani na awachezesha akina nani?, i think thats the only option AW has so far to be honest! unless otherwise unambie wale watoto walo cheza na Sheffield waanze kupewa 'shavu'..!
 
Timu ikinywea hadi mashabiki wananywea, maana hii thread jamaa wa ganaz wanaanza kuikimbia....au Mods waifunge hii thread?
 
hehehe Ole sijui yuko wapi na picha zake za dhiaka lol....!!!kuna mshabiki mmoja wa Gunners ameshagive up!!!
 
Back
Top Bottom