Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nipo mkuu vipi false hopes bado zinaendelea mwaka wa 20 huu kila siku mwakani 😂😂😂 ivi unajua ukisimama na dogo wa la saba bado atakuona ww n mdgo sana kimpira kwasababu tu yeye ni city fans amekuzidi makombe ya epl .
Foden ana makombe 6 na bado ana miaka 23 , wewe toka wanacheza kina pascal cygan na laurent maya na mwanangu senderof bado huna kombe sasa tofauti yenu na burnley nini 😂😂
Ukawa umeenda jangwani kufunga na kusali Arsenal isichukue kombe.

Tofauti yetu na time zote za EPL, siyo Burnley pekee, ni hii hapa.

Hili ni kombe la nne kwa City mfululizo lakini hakuna anayezungumzia hicho kitu kama mafanikio makubwa badala yake timu inayoongelewa ni Arsenal.

Timu yako haiendi michuano yoyote ya Ulaya, hakuna anayeshangaa. Nyumbu atacheza FA na 115 fc lakini kila mmoja anajua nani atashinda hilo kombe.

Hiyo ndiyo tofauti
 
Kuna watu ambao timu isipochukua ubingwa hawaoni kitu kingine cha maana tulichokifanya.

Wanashindwa kuangalia tulipotoka ni wapi ukilinganisha na hapa tulipo hivi sasa... mbaya zaidi hata mashabiki hata mashabiki wa Arsenal baadhi wako na hizi fikra kwamba baada ya kuukosa ubingwa basi hakuna kingine cha kujivunia.

Binafsi naona kama kusingekuwa na improvement yoyote kulinganisha na msimu uliopita basi tusingestahili hata kupigiwa makofi.

-Ukiangalia msimu huu points tulizokusanya(89) ni nyingi kulinganisha na tulizokusanya msimu uliopita(84).

-Mechi tulizoshinda(28) ni nyingi kulinganisha na tulizoshinda msimu uliopita(24)

-Magoli tuliofunga msimu huu(91) ni mengi kulinganisha na tuliofunga msimu uliopita(88), japo msimu jana tulikuwa na wafungaji wengi(19) kulinganisha na msimu huu(16).

-Magoli tulioruhusu msimu huu(29) ni machache sana kulinganisha na tulioruhusu msimu uliopita(43).... bila kusahau kwa mara ya kwanza tumemaliza msimu tukiwa na cleansheets 16, hii inaonesha ni jinsi gani defense yetu ilivyoimarika mara dufu.

-tukiacha na hizo records hapo juu, pia tukumbuke tumeshaondoa ule unyonge kwa wakubwa wenzetu, tumeshinda big matches zote hapo mwishoni..... sikumbuki mara ya mwisho ni lini tuliweza kushinda dhidi ya Chelsea, Tottenham, Manchester United na tena wakiwa wamefuatana fuatana ndani ya mwezi mmoja tena tukielekea kumaliza msimu kwenye nyakati ambazo ni za pressure.

-Vile vile pia tusisahau sisi ndio timu pekee tuliokuwa kiboko ya kipara msimu huu, kwenye mechi mbili zote ameambulia point moja tu something we had never done before, na pia sisi hawa hawa ndio tulimzuia Kipara asi achieve sextuple kwa pale uingereza baada ya kumtandika kwenye ngao ya jamii..... na iko wazi kuwa sasa hivi sisi ndio tunaomnyima usingizi kipara.

Kiukweli kuna massive improvements ambazo tumezifanya na zinatuweka mahala pazuri sana za kuchukua ubingwa msimu ujao... sasa kama kuna shabiki wa Arsenal ambaye anaona licha ya timu yetu kufanya hayo yote lakini bado ana nung'unika badala ya angalau ya kijivunia hapa tulipofika, basi nashauri mtu huyo atafute timu nyingine ya kushabikia ambayo anaamini itamuhakikishia mataji kila msimu.

We true gooners are so much proud of these little achievements we have made this seaso so far.
Mkuu ivi yule beki wetu wakushoto alie injury anarudi lini maana nasemaga angekuwepo na yeye basi arsenal ingekua ingekua bora mara 12

Ni beki flani tulimchukulia ajax
 
Ukawa umeenda jangwani kufunga na kusali Arsenal isichukue kombe.

Tofauti yetu na time zote za EPL, siyo Burnley pekee, ni hii hapa.

Hili ni kombe la nne kwa City mfululizo lakini hakuna anayezungumzia hicho kitu kama mafanikio makubwa badala yake timu inayoongelewa ni Arsenal.

Timu yako haiendi michuano yoyote ya Ulaya, hakuna anayeshangaa. Nyumbu atacheza FA na 115 fc lakini kila mmoja anajua nani atashinda hilo kombe.

Hiyo ndiyo tofauti
Trophies won from 2022-24

Man United: 1
Arsenal: 0

Cup finals reached from 2022-24

Man United: 3*
Arsenal: 0

😁
 
Mpira unatiwa siasa

The UK government has admitted that its embassy in Abu Dhabi have discussed the 115 charges levelled at Man City by the Premier League, but are refusing to disclose the correspondence because it could risk the UK's relationship with UAE.

(Source:
@PJBuckingham
)
 
Tunajua wana hatia.
Tunajua pia kuwa hawataadhibiwa.
Kilichobaki ni tutakaza na kuwapiga hivyo hivyo na ufisadi wao.
 
Hebu andika tena, unaonekana una machungu hata huelewi unataka kusema nini.
Soma ukiwa huna konyagi wala K-vant kichwani mwako utanielewa nimeandika nini...

Hao akina Nketiah wameiwezesha Arsenal kushika nafasi ya pili na wamekuwa title contender kwa mechi 38 zote, yaani mpaka mechi ya mwisho kimahesabu walikuwa bado wana nafasi ya kuchukua ubingwa.....haya sasa wewe wachezaji wa timu unayoishabikia wamewafikisheni wapi? Kama mmemaliza ligi Arsenal akiwa juu yenu, basi hiyo yako wachezaji wake ni viazi mbatata kama ulivyo wewe unatakiwa uwape heshima hao akina Nketiah
 
Mpira unatiwa siasa

The UK government has admitted that its embassy in Abu Dhabi have discussed the 115 charges levelled at Man City by the Premier League, but are refusing to disclose the correspondence because it could risk the UK's relationship with UAE.

(Source:
@PJBuckingham
)
Manchester City sio Everton au Nottingham Forest, unapo deal na City hapo jua una deal na Falme nzima ya kiarabu na hicho sio kitu rahiso hata kidogo.... kila mtu anajua City wana hatia, lakini watafanywaje??? Na nani wa kuwachukulia hatua?

Sana sana hapo hili sakata litakopoishia ni City kufungiwa usajiri tu angalau kwa misimu miwili basi.... kuhusu kushushwa daraja au kunyang'anywa mataji hilo tusahau.
 
Trophies won from 2022-24

Man United: 1
Arsenal: 0

Cup finals reached from 2022-24

Man United: 3*
Arsenal: 0

Ila wabongo banaaa
1716308908914.jpg
 
Kitendo cha wana arsenal kushika nafasi ya pili msimu huu nyuma ya city haiwapi guarantee kwamba msimu ujao pia mtabaki kuwakimbiza hao jamaa kwa karibu kama hivi sasa. Niweke rekodi sawa hapa kuwa Man united ya Ole imewahi kuwa ya pili lakini msimu uliofuata ikapoteana, liverpool wamewahi kuwafukuzia city mara mbili mfululizo ingawa leo wamepoteana kama sisi tu.
Ninachotaka kusema ni kwamba kipara peke yake pale epl ndiye mwenye dhamana ya kukaa ndani ya top 2 msimu hadi msimu.

Mwakani chelsea na united zitaleta upinzani kwenu tofauti na matarajio yenu.
Punguzeni matarajio ili mzeeke bila magonjwa yasiyoambukiza
 
Wanakuja humu wanajichekesha na kutishia watachofanya msimu ujao leo usiku kocha wao kasema anaondoka
 
Kitendo cha wana arsenal kushika nafasi ya pili msimu huu nyuma ya city haiwapi guarantee kwamba msimu ujao pia mtabaki kuwakimbiza hao jamaa kwa karibu kama hivi sasa. Niweke rekodi sawa hapa kuwa Man united ya Ole imewahi kuwa ya pili lakini msimu uliofuata ikapoteana, liverpool wamewahi kuwafukuzia city mara mbili mfululizo ingawa leo wamepoteana kama sisi tu.
Ninachotaka kusema ni kwamba kipara peke yake pale epl ndiye mwenye dhamana ya kukaa ndani ya top 2 msimu hadi msimu.

Mwakani chelsea na united zitaleta upinzani kwenu tofauti na matarajio yenu.
Punguzeni matarajio ili mzeeke bila magonjwa yasiyoambukiza
Ole 🤣🤣🤣 irrelevant coach
 
Ukawa umeenda jangwani kufunga na kusali Arsenal isichukue kombe.

Tofauti yetu na time zote za EPL, siyo Burnley pekee, ni hii hapa.

Hili ni kombe la nne kwa City mfululizo lakini hakuna anayezungumzia hicho kitu kama mafanikio makubwa badala yake timu inayoongelewa ni Arsenal.

Timu yako haiendi michuano yoyote ya Ulaya, hakuna anayeshangaa. Nyumbu atacheza FA na 115 fc lakini kila mmoja anajua nani atashinda hilo kombe.

Hiyo ndiyo tofauti
Arsenal ni kichekesho ndiyo maana unaona watu wanaizungumzia sana si unajua kicheko nacho chaongeza siku za kuishi.

Kama unahisi watu hawazungumzii 4 in row ya man city basi inaonekana hujichanganyi na fans mbalimbali unakaa na false hopers wenzako tu .

Suala si kwenda Uefa cha muhimu ni unaenda kufanya nini? Group letu tunawakilishwa na Dortmund mwanetu .
Nasikia mlikua mnafanya rehearsal ya kuchukua kombe kabla ya match ya everton sasa unaona hio ni team au kikundi cha comedy.

Haina haja ya kufunga na kuomba arsenal asichukue kombe wakati unajua kabisa hachukui.
 
Umetaka tofauti nimekupa.

Streamers walikua wengi kuangalia speech ya Klopp akiaga kuliko channel ya city kuongelea 4 in a row. Hili kombe itakua unaliongelea wewe tu.

Humu JF hakuna uzi wa mpira unaovutia kuingia zaidi ya huu. Nyumbu, kenge, liva, city watafungwa na wote mnaassume ni kawaida.

Akifungwa Arsenal wote mnaacha kazi zenu mnakimbilia huku. Winger yeyote akifunga magoli mawili mfululizo atafananishwa na Saka au Martinelli.

That's the difference. Hii timu ni SI unit ya ubora. We mwenyewe ulikua umejificha ligi imeisha haujaenda jukwaa la waliochukua kombe badala yake unakesha humu.

That's the difference
 
Cap🧢
 
Manchester City sio Everton au Nottingham Forest, unapo deal na City hapo jua una deal na Falme nzima ya kiarabu na hicho sio kitu rahiso hata kidogo.... kila mtu anajua City wana hatia, lakini watafanywaje??? Na nani wa kuwachukulia hatua?

Sana sana hapo hili sakata litakopoishia ni City kufungiwa usajiri tu angalau kwa misimu miwili basi.... kuhusu kushushwa daraja au kunyang'anywa mataji hilo tusahau.
Ndugu mnataka mataji ambayo hamjayafanyia kazi ?Haland na foden wafunge magoli ubingwa wapewe wengine ,kila team ipambane hakuna dezo ,kulia lia kama vitoto ni ujinga
 
Umetaka tofauti nimekupa.

Streamers walikua wengi kuangalia speech ya Klopp akiaga kuliko channel ya city kuongelea 4 in a row. Hili kombe itakua unaliongelea wewe tu.

Humu JF hakuna uzi wa mpira unaovutia kuingia zaidi ya huu. Nyumbu, kenge, liva, city watafungwa na wote mnaassume ni kawaida.

Akifungwa Arsenal wote mnaacha kazi zenu mnakimbilia huku. Winger yeyote akifunga magoli mawili mfululizo atafananishwa na Saka au Martinelli.

That's the difference. Hii timu ni SI unit ya ubora. We mwenyewe ulikua umejificha ligi imeisha haujaenda jukwaa la waliochukua kombe badala yake unakesha humu.

That's the difference
Kwa sasa city kuchukua ubingwa ni kawaida kipara akiendelea kuwa england hakika kwa miaka kumi ana wa bless wengine mara mbili hapo ni chelsea au liverpool wanaojua ubingwa unachukuliwa namna gani.
 
Back
Top Bottom