Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dhamana ya ushindi kwa Arsenal leo ipo kwa Flamin maana ndio mchezaji pekee anayekaba ukiacha mabeki wengine wote wanajua kushambulia tu wakipoteza hawajui kutafuta
 
Mkuu kila timu inatakiwa kucheza mechi 38, mpaka sasa hivi timu zote zimecheza mechi 15 au 16, nusu kama sikosei itakuwa December 28th ambapo kila timu itakuwa imecheza mechi 19 ambazo ni nusu ya mechi 38.

nusu ni kesho kutwa,shukuruni liverpool wameporomoka,mtakuwa big 4
 
Mkuu kila timu inatakiwa kucheza mechi 38, mpaka sasa hivi timu zote zimecheza mechi 15 au 16, nusu kama sikosei itakuwa December 28th ambapo kila timu itakuwa imecheza mechi 19 ambazo ni nusu ya mechi 38.

Inawezekana hadi kufikia hizo nusu mkawa kwenye hali mbaya kuliko sasa
 
1418495918756.jpg
 
Back
Top Bottom