Hongereni viongozi wa Nchi hii kwa kuonesha ari zaidi za kufanya maisha yazidi kua magumu na hogereni sana kutumia nguvu zaidi kwa kuua watu na hogereni sana kwa kutumia kasi zaidi ya kuwanyima Raia haki yao ya kuchagua kiongozi wanaemtaka(BUBUBU), mana nimeamini ule usemi wa hawa CCM kua Bila CCM Imara...............sawa nimeamini ila ipo siku mutajua kma sisi ni nani?.....mna tumechoka na udhalilishaji wenu tumechoka na uonevu wenu tumechoka na ahadi hewa tumechoka na kuuziwa ajira hewa tumechoka kuongozwa na viongozi wala rushwa tumechoka yaani tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa