Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya

nginda

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
744
82
Kama huitaki ipotezee!!! 45630_140591509311476_100000818841919_164666_288636_n.jpg hii ndiyo tanzania ya ******. Maisha bora kwa kila mtazania. Kula kwa mrija.
 
Yani huyu nyang'au na serikali yake ni wa kuhukumia kwa kunyongwa mpaka mauti iwakute.
 
Wana muda wao hao! ngojeni uchaguzi ukifika, wanasahau shida zote kwa kipindi cha miezi kama 3 hivi. Kuna mzee mmoja alikuwa mjanja sasa pale Igogo mwanza, ilikuwa ikifika uchaguzi yeye lazima ajenge hata chumba kimoja harafu anapangisha. Hata huyo huenda anabonge la jumbe sehemu kalipangisha.
 
Back
Top Bottom