Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,870
- 2,176
Walipigiwa pira na saudia sijui Leo na Mexico Kama mtatoboa
Weka akiba ya maneno, kama mfuatiliaji mzuri wa mpira na unaujua vizuri mpira huwezi kuongea haya
Walipigiwa pira na saudia sijui Leo na Mexico Kama mtatoboa
Piga kenge haoooo
Fans mpo kimya sana au ndio mmekata tamaa?
Vamoooosssss
Hakika inabid tupambane sana tushinde ushindi no muhm sana sana.Leo tukimaliza 1st position kwenye group tutakutana na Australia then 2nd position vs France
Argentina anakatisha sana tamaa kwa mpira wake huu wa kumiliki without forcing pale mbele inakuwa ni presha kwa fans muda woteHakika inabid tupambane sana tushinde ushindi no muhm sana sana.
Vamonos
Ndina.Bamoo.... Bamos Argentina..!
Uwezo tunao kumbe shenzi type vamosssss ArgentinaArgentina anakatisha sana tamaa kwa mpira wake huu wa kumiliki without forcing pale mbele inakuwa ni presha kwa fans muda wote
Haha uwezo tunao mkuu jana tumerud kwny basics na mpr tunatandaza vzr tu.Uwezo tunao kumbe shenzi type vamosssss Argentina
Fact Australia hatutamchukulia poa tutamuona ni giant mwenzetu hatutaki tena masiharaHaha uwezo tunao mkuu jana tumerud kwny basics na mpr tunatandaza vzr tu.
Ss hapa ni kupambana jmos kumtoa Australia kwnz 1 game at a time tulichojifunza hakuna underestimate opponent ni kumpiga mapema.
Kbs mkuu masihara kdg yatuponze.. Yan saiv tutapambana mwanzo mwsh ba tukipita hapo tunamsbr yoyote kati ya Holland au USA..Fact Australia hatutamchukulia poa tutamuona ni giant mwenzetu hatutaki tena masihara
Hakika inabid tupambane sana tushinde ushindi no muhm sana sana.
Vamonos