Aretha franklin: When the queen found the king

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
r-ARETHA-FRANKLIN-ENGAGED-large570.jpg


NEW YORK — Aretha Franklin is engaged to longtime friend William "Willie" Wilkerson.
The Grammy-winning singer told The Associated Press in a statement Monday that she and Wilkerson are considering a summer wedding, perhaps in Miami Beach, Fla. The Queen of Soul wants to follow the ceremony with a reception on a private yacht.
The 69-year-old jokes: "No, I'm not pregnant."
Franklin and Wilkerson became engaged over the holidays.
She is considering Vera Wang, Valentino and Donna Karan to design her dress.
Franklin has been married twice before.

Aretha Franklin Engaged; Singer And William 'Willie' Wilkerson Getting Married

 
Last edited by a moderator:
Aisee halafu kapungua kazidi kuwa mrembo,wenzetu hawajinyimi raha eti kwa sababu ya umri,hata ukiwa 69 unahaki ya kupenda na kupendwa.
 
So amazing! Wenzetu wanajua how to make life worth living...Mtafute sasa bibi wa kibongo mwenye umri wa miaka 69... Utachoka! Wanawake tujipende jamani aging doesnt favor us at all..
 
Du aka 69 baado anataka aende fungate akafanye vitu vyalke,huyu nyanya namkubali sana kwenye kuimba ana mashari mazuri na sauti swafi,hakika nyanya huyu ni malikia wa mziki wa soul,yuko ligi moja na bibi mwingine mvaa vimini TT hawa nyanya sijui wanajitunza vipi ,TT akiwa kwenye stage makeke yake hata akina Jide hawaoni ndani
 
safi sana..
Inapendeze kwa kwel

Love has Age, Indeed dada. Ni matumaini yangu kwamba huyujamaa ( Mr. William ‘Willie' Wilkerson) hanyatii njuruku za "the Queen of Soul." Hello, Prenup!!!!!!!!:yawn:
 
Jamani mimi pia sikati tamaa nitampata wangu hata at the age of 100yrs
 
lol..... awesome jaman.
hongera zao..... bidada bado anadai kbs uyoooo.
 
Umenikumbusha kibao cha It hurts like hell ilitumika kama Sound track kwenye Movie ya waiting to exhale,
Mwanamama ana sauti ya mlalamo haki ya nani nyoka asipotoka pangoni basi huyo si nyoka ni mjusi kafiri!!
 
So amazing! Wenzetu wanajua how to make life worth living...Mtafute sasa bibi wa kibongo mwenye umri wa miaka 69... Utachoka! Wanawake tujipende jamani aging doesnt favor us at all..

Ah sasa shosti angalia lakini na ushauri wako....
Hivi kweli bibi pale home ataweza hizo move za kina Arethra??
Hawa ndio ma-celeb wa ukweli....
 
Ah sasa shosti angalia lakini na ushauri wako....
Hivi kweli bibi pale home ataweza hizo move za kina Arethra??
Hawa ndio ma-celeb wa ukweli....

kajwa dear minaamini kujipenda one doesnt need to be a public figure to do that... Achana na haya ma plastic surgery kuna mazoezi na diet za kawaida mtu anaweza kufanya...and manage to stay perfect and healthy!
 
Na hivi leo tunavyoongea.

Hatuko nae tena.

Mwenzetu alishatutangulia tokea Mwaka wa jana Mwezi wa Nane
 
Back
Top Bottom