ARE YOU TRUE TO YOURSELF...? Upo na Mpenzi wako kwasababu ipi?

Dada AshaDii naomba nikusanye nondoz zako nitoe kitabu kisaidie wa mama wa nyumbani wote

Fidel naomba uje na mwanasheria wako, mie nitakuja na wangu (sijui kama utaelewa neno lakini maana lawyer wangu ana yale mambo ambayo hukudhoofisha lol). Sasa tufanyeje ili tuzungumze terms na conditions za copyrite. lol
 
Loh loh karibu sis nimeolewa na mjf hataki kuniona huku!

aisee... HONGERA Sana mdogo wangu, nasikitika nilikosa hio harusi.. Dah naomba nitambulishe basi huyo shemeji yangu.

Mi mzima dada Ashadii mlengwa alikuwa huyu bepari wa kihaya fataki la tandale Bishanga anasumbua mpe basi mawaidha

Dah.. Hii kali, kabla sijajibu itabidi unihakikishie kama nimeelewa... lol. yaani B' ndio katua kwako?
 
nakupenda pia mentor wangu. AshaDii naomba na mimi nikukaribishe tena kama walivyofanya wenzangu. Nimefurahi kutambulishwa kwako.

Asante sana Catherine, hatimae nimekuona maana sio kutajwa hukko umetajwa tena kwa sauti ya upendo kwa kakangu Mentor. Asante kwa kunikaribisha and welcome to the family... Pamoja saana.
 
Nimekumisije weye

Nimekumiss pia Kimey. Naamini you are well and good broda.

Duh..........
Angalau hii topic imenichangamsha,
Maana kichwa changu kilikuwa kizito kwa mambo mengine kabisa!!

Kipipi habari ya siku dear? Pole na uzito wa mambo... Uje home ujipumzishe weekend nitakuhudumia kama queen kwenye himaya yake lol
 
AshaDii...... Salaam!

Tunamwomba Mola akupe zaidi ya shukrani zetu.. Mola, Mwingi wa Rehema anajua unastahili zawadi gani..

Are you True to yourself? Naamini neno “Love” limechakachuliwa na hivyo hakuna maana halisi ya neno Mapenzi au “Love” zaidi ya maana ile unayotengeneza wewe mwenyewe au kukubaliana na mpenzi wako hata kama mtakuwa mmekubaliana kwa mkataba wa pochi..au mmekutana kutokana na mihangaiko ya kubeba maboksi au frustrations nyingine za maisha...

Kwa sasa neno Mapenzi au Love linazidi kuchakachuliwa .. Hivyo basi ukiniuliza Mimi kama nahisi kupendwa..basi kama napenda Movie basi nitakujibu kutokana na vile nilivyoona kwenye Movie za Kanumba au Basi kama mimi nimezaliwa toka kwenye ule mkoa unaopiga kina mama wasio na hatia ..basi naweza kutafsiri mapenzi ya kweli kutokana na uwezo wangu wa kushusha kipigo kwa mwanamke asiye na hatia..

Binafsi bado naamini hakuna kitu kinachoitwa Love...zaidi ya mfumo wa maisha uliochagua wewe mwenyewe..na kutengeneza rules of Engagement...Hivyo basi ninavyoamini mimi lazima itakuwa tofauti na unavyoamini wewe..

At the end of the day..Kwa sababu hakuna hajuaye ndani ya moyo wa mwenzake kuna nini..Basi kila kitu kitabaki kuwa “Artificial”kila mpenzi atabaki na siri yake moyoni hadi mwisho..Myth!
 
aisee... HONGERA Sana mdogo wangu, nasikitika nilikosa hio harusi.. Dah naomba nitambulishe basi huyo shemeji yangu.

Dah.. Hii kali, kabla sijajibu itabidi unihakikishie kama nimeelewa... lol. yaani B' ndio katua kwako?

nataka kumpa kibuti kanichosha
 
AshaDii...... Salaam!

Tunamwomba Mola akupe zaidi ya shukrani zetu.. Mola, Mwingi wa Rehema anajua unastahili zawadi gani..

Are you True to yourself? Naamini neno "Love" limechakachuliwa na hivyo hakuna maana halisi ya neno Mapenzi au "Love" zaidi ya maana ile unayotengeneza wewe mwenyewe au kukubaliana na mpenzi wako hata kama mtakuwa mmekubaliana kwa mkataba wa pochi..au mmekutana kutokana na mihangaiko ya kubeba maboksi au frustrations nyingine za maisha...

Kwa sasa neno Mapenzi au Love linazidi kuchakachuliwa .. Hivyo basi ukiniuliza Mimi kama nahisi kupendwa..basi kama napenda Movie basi nitakujibu kutokana na vile nilivyoona kwenye Movie za Kanumba au Basi kama mimi nimezaliwa toka kwenye ule mkoa unaopiga kina mama wasio na hatia ..basi naweza kutafsiri mapenzi ya kweli kutokana na uwezo wangu wa kushusha kipigo kwa mwanamke asiye na hatia..

Binafsi bado naamini hakuna kitu kinachoitwa Love...zaidi ya mfumo wa maisha uliochagua wewe mwenyewe..na kutengeneza rules of Engagement...Hivyo basi ninavyoamini mimi lazima itakuwa tofauti na unavyoamini wewe..

At the end of the day..Kwa sababu hakuna hajuaye ndani ya moyo wa mwenzake kuna nini..Basi kila kitu kitabaki kuwa "Artificial"kila mpenzi atabaki na siri yake moyoni hadi mwisho..Myth!

Tulizo nimefurahi kukuona hapa, it has been long…

Sishangai msimamo wako, ila I was hoping ume change… lol najua… hio ingekuwa ni wishful thinking. Hapo uliposema kuwa ukiulizwa kama unapendwa kwa kufananisha na mapenzi ya TV maarufu kama Mapenzi ya tamthiliya hata mimi nakuunga mkono. Katika Mapenzi hayo mwenyewe ni mzuri na mwenye kuonekana na roho nzuri huishia kupata mapenzi ya kweli (‘daima' ikiwa portrayed); kitu ambacho sio kweli katika maisha ya sasa…

Kwamba hakuna kabisa? Hapana Tulizo, naomba nirudie kusisitiza ‘love' is there.. aidha for the taking or once in a while inakuja by surprise… Ila hata hivo sikulaumu kwa msimamo wako, inafanya nione inakufanya uwe na amani sana.
 
AshaDii are you doubting your love......................naona umejikita kinadharia sana....I would like to know how you are faring with your hubby.......................you seems very negative.................is he cheating on you or you are the one rocking the cradle from without? Mara nyingi wa tend to air our emotions in an evasive manner as if we are running away from realities of life......................reading between the lines..................I have a sneaky feeling this is your life told in a distancing stance...................who is you anyway? The one you melancholy write about or the nondescript one you would like us to fall for?
 
Last edited by a moderator:
Umewahi jiuliza upo na MPENZI/MWENZA wako kwa ajili gani?

Mapenzi ni mchezo wa ajabu saana. Wanadamu hutaka awe na wa karibu wake hasa Mpenzi for the simple reason kuwa anapendwa na yeye kupenda pia. Ila as we grow up we learn the hard way… Kuwa mahusiano is not always about LOVE. Kwamba LOVE is just secondary to Relationships… na what is important ni Amani, Furaha na Contentment. Unaweza usiwe na LOVE katika mahusiano yako BUT ukawa na Amani kuliko hata walio katika Mapenzi ya dhati. Hii ni kwa wale wenye wapenzi whether wameoana or wapo pamoja… Kwa mda mrefu ama mfupi.

AshaDii are u alright? Kweli yawezekana uwe na ridhio la moyo wako wakati hujapenda?........can u seriosly talk of contentment, peace and bliss without loving your companionship?......................Love precedes everything.....................without love there is nor contentment because you will be asking yourself whether out there you are missing something exquisite meant for you...........it means you are covetous............and once you still want more then you are restless and hence peace and joy depart from your presence....................think again...................and you will see and attests without genuine love...............................that void is filled by greed, emotional incontinence and dissatisfaction........
 
AshaDii are you doubting your love......................naona umejikita kinadharia sana....I would like to know how you are faring with your hubby.......................you seems very negative.................is he cheating on you or you are the one rocking the cradle from without? Mara nyingi wa tend to air our emotions in an evasive manner as if we are running away from realities of life......................reading between the lines..................I have a sneaky feeling this is your life told in a distancing stance...................who is you anyway? The one you melancholy write about or the nondescript one you would like us to fall for?

Ruta hi. Before I say anything while did you come to the conclusion kuwa am being negative? I have written a lot and "LOVE" ikiwa among them..
 
AshaDii are u alright? Kweli yawezekana uwe na ridhio la moyo wako wakati hujapenda?........can u seriosly talk of contentment, peace and bliss without loving your companionship?......................Love precedes everything.....................without love there is nor contentment because you will be asking yourself whether out there you are missing something exquisite meant for you...........it means you are covetous............and once you still want more then you are restless and hence peace and joy depart from your presence....................think again...................and you will see and attests without genuine love...............................that void is filled by greed, emotional incontinence and dissatisfaction........

Rutta sasa hapo that is where the argument and complication lies... Maybe before anything we should ask ourselves what Love is... You believe that all relationships are preceded by Love? seriously??

Of all people I believe you can attest to that kuliko hata most for to realise these comes with experience. I know you can have someone and not love them but you are happy and content in the marriage and everything goes as normal.
 
Ok, Asha...

Ngoja nijaribu "kuwa mkweli" kwa nafsi yangu!

Naona nimechelewa, pia sijasoma post zote hivyo naomba mniwie radhi kama ntakuwa nimerudia ambacho mshasema.

Ila tu katika ile imani kuwa hamna tafsiri nyoofu ya ulimwengu ya "nini ni mapenzi"....

Na hii inaanzia kwenye ukweli kuwa sisi binadamu ni viumbe tata sana kuliko viumbe vyote duniani.

Kwa kuanzia hapo naweza kusema kuwa mchanganyiko wa hizo hali zote ulizoziainisha kwenye uzi huu ndio zinazaa kitu kinachoweza itwa penzi

Hii nimeipenda Gwalu, mchanganyiko ya yoote haya ndio huza Mapenzi.... Umenipa homework ya kulifikiria kwa upande huo wa mtazamo. It makes sense....
 
Back
Top Bottom