ARE YOU TRUE TO YOURSELF...? Upo na Mpenzi wako kwasababu ipi?

Inapendeza... nafurahi kukuona hapa, na natumai matatizo yale ulio tuletea jamvini yaliisha sasa lol ya jirani wa lift incase umesahau... hahaha!

yalikwisha mydia, but I learned a lesson from that woman and now i know the boundaries, ha ha haaaaa!
 
I see!! Hivi upo? tatizo uliko ni Internet access au uliamuwa tu kuwa busy na mambo yako? na huyu Lizzy sijui ni nani amemficha Mungu wangu. [h=6][/h]
 
Last edited by a moderator:
Mie nilkuwa nampenda mke wangu lakini kwa sasa sijui!Ila simwachi pamoja na visa vyake!

MTENDAHAKI endelea kutenda haki, isijekuwa wewe ndio umemfanya aanze visa ati! Pole lakini maisha ni changamoto and believe me not, kungekuwa hakuna hizi changamoto, maisha yangekuwa boring sana aisee!! Humu jamvini tungechokana kwa kuwa kila kukicha tungekuwa tunaishia kuringishiana tu doli, doliiiii mpenzi wangu jana kanifanyia hiki, kaniletea hiki n.k.
 
AshaDii ni dada yangu binamu aliolewa kwa staili ya liwalo na liwe kwa sababu umri ulikuwa unamtupa mkono na sasa anaishi katika ndoa ngumu sana, hana amani wala furaha, mume kawa karaha.................

Hili katika jamii yetu ni wanawake wengi yanawakuta haya... Huwa watu wengi hawapendi kukiri ila in most cases ndio hivo. Unakumbuka kuna thread niliwahi andika ya kujua age za wanawake na jinsi ambavo zinaathiri maamuzi yetu katika mahusiano ambayo tunaingia?

Hahahahaha ukiona hivyo ujue ana stress za kukukosa lol......angalia tusije mkosa wifi tehe tehe.....sherehe za usiku zikizidi sana huwa zinz madhara kiafya jamani !

Utanifanye nizimie aisee! Ila mie namuaminia bana! Nyie mawifi wangu mpo ngunguli... hahaha

Miye tena nikutukane mama mkwe......hapana naona siku hizi lugha yetu adhimu imekupita kando kidogo......labda methali hiyo iwe kwenye lugha "pendwa"
Mchama ago hanyeli,huenda akauya papo; A traveller does not make a mess where he had made a camp as he might one day come back.
Together veeeeeeeeery!


Nice one Mkwee, kweli hapo mwanangu kapata! Yaani hata akija home eti umemuudhi namsihi na kumkanya kuwa kama wewe hatapata a.k.a kwingine watamtesa tu! lol Kila la kheri katika maisha yenu... Pamoja saana dear.
Lazima nijibu hilo swali sasa hivi?:fear:

My mwali there is a change in you... zamani ungejibu tu moja kwa moja, naanza kuwa na wasi wasi... ngoja nimuulize ankal wako kama ulibadilisha miendendo.. :thinking:
 
Naunga mkono hoja
hii compassion aliyokuwa nayo AshaD sio ya kawaida
'her power of presence ' ni kitu 'very special kwa jf'..


Boss wewe si mwepesi wa kusifia... Haya maneno nayachukulia kwa 'uzito', naomba tu juwa kuwa deep down in my heart I am SO HUMBLED.... THANK U. Pamoja saana.
 
kweli kimya kingi kina kishindo. Hii thread umetumia siku ngapi kuiandika na kuiedit? karibu sana my dear. mia

hahaha! Mzee wa mia! Mzima fignig wewe? Nafurahi kukuona rafiki. Mie hii habari ni kama tu vile kunywa chai (ya viungo mind you lol) huku naangalia movie. Niliandaa ndani ya saa moja... Asante kwa ukaribisho. pamoja sana, mia!

This woman is powerful here at JF.. I am puzzled for her 'femininity prowess'...lol!
She might be a Doctor of Philosophy by the virtue of her contribution in MMU forum.. Well done AshaDii

SnowBall I am SO Humbled... I really appreciate your acknowledgement of me. Pamoja saana.

Karibu sana AshaDii. I just hope Kaizer atakueleza yote yaliyojiri wakati ukiwa safarini.

Mwaj ilikuwa kila siku lazima Kaizer a report yanayojiri, issue itakuja tu pale kuwa alikuwa anaselect ya kuniambia... hahaha! kama hutajali hebu nidokeze mengine yasije yakawa mengine yamenipita... lol. Asante kwa kunikaribisha dear... I bliv you are well and good.

AshaDii ni abstainance tu, nimeamua kukituliza mpaka ndoa hehehehheeeeeee

hahaha! nimeona kule usha tangaziwa ndoa... naona charminglady is one LUCKY woman! Hongera sana Mtoto... Ila sasa ukioa itabidi uitwe Mkubwa6.. lolz

Hivyo AshaDii mamkubwa eenh?

Ronn mbona sasa unakuwa huna adabu? 'Shikamoo' yangu iko wapi? haya amkiam mamamkubwa haraka sana! lol

Chini ya uangalizi wa sweetlady ni lazima niwe mzima....zawadi yako ipo....kwa kuwa umerudi lazima ikufikie mwisho wa wiki hii...

Mimi huwa sina wasi wasi na wewe kabisa mdogo wangu sababu najua I have a sweet wifi. Hapo sina wasi wasi kabisa na ndioa maana saa ingine nampenda yeye kuliko wewe damu yangu, mana najua hila zenu. hahaha

Da AshaDii karibu tena aisee nilikumiss sana! Hope umerudi kamili kamili yan hakuna kutuacha tena...! Mi mzima na wife mpya ( Preta ) hajambo pia!

hehehehe! Kabla sijatoa hongera ni lazima mtuchake, PakaJimmy, Blaki Womani, sweetlady na Amyner wanihakikishie hii habari ya hadhi ya 'breaking news'!

Tuombe uzima B52, nimerudi mazima... lol. Ila Preta (not yet ready kumuita my wife wako lol) nishasalimiana nae... nimefurahi sana kumuona. BTW ulimissiwa pia dear...
 
Last edited by a moderator:
baby mbona huonekani au ulirudi Bujumbura

Nimejibu ila sina hakika hili bandiko lilinilenga mimi... lol. Mzima wewe Secretary?

Welcome back AD'I, NIMEIPENDA SANA THREAD YAKO, NIMEJIFUNZA MENGI.
Blessings... :flypig:

Thanks Apollo, appreciate the warm welcome hasa the music list collection... THANK U. Na pia nishukuru for acknowledging the thread... Pamoja saana.

Karibu sana,ulipotelea wapi weye mremboo AshaDii

Mrembo mzima mamie? Mambo tu yalibana dear but sasa hopefully am back for good. Vipi habari ya siku? Asante kwa ukaribisho Mrembo...

Hi mrembo,thanks kwakuni inform na kumuinform Asha Dii.How come hatukualikana Eid?Anyways, my belated wishes...

So we meet... AGAIN! lol. Hii itakuwa ikitokea sana sasa.... hahaha!
 
Mie niko bomba sana ingawa kila kitu kinatamani kupata anti-aging agenta!!
Hii thread ni bomba ila amini usiamini RR, hapa kinachokimbiza huu mwenge ni jina tu dada....ADii ni jina la kutisha!!

Kwa wale wanaomini nyota na hivyo kuhangaika kutafuta mwenzi mwenye nyota inayong'aa ili waitumie....Hii ya ADii inafaa kuwapanga foleni ndefu kama urefu wa ile minoti ya EPA (tuliambiwa ukizipanga zinatoka Dar hadi Songea)!!

Anyway..uzee ni taabu sana...Ingekuwa enzi zile za 1947, lazime ningeanza kujifunza yale masomo ya kuvunja vunja vitu ili ujue ndani yake kunani...lol!!

Mzima wewe lakini??

Babu DC!!



Mzee DC, I am humbled... ASANTE SANA Mkulu.. Ni kama mzaha ila maneno mazito ya faraja kwa upande wangu. Kama unavoelewa wanadamu tunahitaji kufarijina kwa kupongezana once in a while mradi iwe ni genuine. And I believe kabisa kuwa kwa mtazamo wako upo genuine... Hivo I am really humbled... Na Inshallah namuomba Mwenyezi Mungu kama indeed ni nyota basi izidi kung'aa....

Ila pamoja na hayo umenifurahisha saana... lol. Wakati wewe kijana ulikwa hujali hata kama your eyes are set on someone who belongs to another? hahaha OR nimekusoma vibaya?
 
Back
Top Bottom