Are you a man aged 33-40??

Cool gentleman alikuwa anatafuta wakumdekeza naona destiny you are the perfect match for him
 
Mimi sikwalifai kwenye namba mbili tu (living alone). However hasebu zangu za chekechea zinaniambila kwa kukwalifai kwenye kumi zilizobaki
(10/11 x 100%)= 90.0%
naona nimeifunikia mbali minimum yako ya 80%. Nisuburi PM...
 
Una watoto wawili, huoni kama umeshachoka kinyama?, maana kama ni utamu watu walishanyonya wote, hebu dhibitisha hapa huyo unaemtafuta kukuoa atafaidi nini hasa kutoka kwako?. Lakini pia wewe kwa sasa ni used already, kwa masharti kibaooooo kama hayo nani wa kupoteza muda na wewe?, labda makenge tu ndo wanaoweza kuoa mwanamke aliyezaa tayari.
 
I know what i want and I know how to get it, u r defenetely not the one im looking for so please excuse me.
 
Mimi sikwalifai kwenye namba mbili tu (living alone). However hasebu zangu za chekechea zinaniambila kwa kukwalifai kwenye kumi zilizobaki
(10/11 x 100%)= 90.0%
naona nimeifunikia mbali minimum yako ya 80%. Nisuburi PM...
ww umepinda hahah
 
I know what i want and I know how to get it, u r defenetely not the one im looking for so please excuse me.

Natafuta wa kunisukumia ujana just for 5 yrs, then natafuta mwingine serengeti boy wa kumlipa amalizie 5 yrs. Hapa nitakua 40 na nyege zitakua zimepungua sana, natulia na wanangu. Nikihitaji mara moja moja sikosi wazee wenzangu.

Haya ndio mawazo uliyo nayo. Kila la kheri
 
akili na muonekano wako vimefanana na post yako. what u say about others reflects who you are and not who they are. read carefully and between the lines
 
Cool Gentleman umemuona destiny1? kama hujamuona bora,

nahisi kupikuliwa. anaonekana ana sifa zote ulizo list.

Ahaaaa haaaa nimemwambia kule chemba kabla mchakato haujafungwa wikiendi hii. Usijali file lako bado natembea nalo. Hebu ngoja kwanza nijipime naye kama tunaendana:

Vigezo vyake: navifikia kiasi gani?

Im looking for a man
1.With a heart to love truly, respect and care for the person he loves - Hapa naqualify na kuzidi.
2.The one with kid/kids and divorced/living alone atapewa kipaumbele - hapa naqualify.
3.Christian - Naqualify
4.Don’t care about the skin color, just good looking hahah, Should be confident about his look - hapa atazimia na kublow mapigo (Kwa lugha ya watoto wa mjini). yaani this is HB aka Cool Gentleman.
5.not less than 33yrs not more than 40yrs - Hapa hola nimeula wa Chuya. Nina between 45-48
6.Should be employed or own business or both, a person with big dreams za maendeleo - Hapa nimequalify na zaidi.
7.Awe Faithful and straight asiwe muongo - hapa nimequalify na zaidi.
8.Not less than 1.65M height not more than 1.85 (though not very important), Hapa nimeula wa chuya. Niko 188 CM.
9.you could be drinking ocassionally or not ila usiwe Mlevi - Hapa niko vizuri. Sinywi kabisa.
10. Education not less than a diploma but with sharp mind - Hapa nime over qualify.
11. Anayejua kudeka na kudekeza- Hapa Utatanishi. Sijui Kudeka ila najua Kudekeza.

Je Yeye anameet Vigezo vyangu? Hebu nione:

Awe na Umri usiopita miaka 40 - Hapa naqualify
Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili - anaqualify kasema yuko bomba
Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya - Anaqualify
Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini - Anaqualify
Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD - hapa pia yuko vizuri.
Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka - hapa yuko sawa
Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana, hapa hajaweka wazi.

Duh! Ipo kazi
 
Back
Top Bottom