Ardhi kujenga Univesrity

JOFFREY BARATHEON

Senior Member
Jun 26, 2014
107
195
634782060.jpg


Nina jamaa wanataka kuja kujenga chuo kikuu kikubwa kama vile UD or something similar
Je upatikanaji wa ardhi ukoje? Je serikali au wilaya zinaweza zikawa na ardhi ambazo zimetengwa kwa jili hii?

Je ardhi itabidi kununua au serikali ilishatenga maeneo kwa ajili hiyo (land banks) kwenye kila wilaya/mkoa?

University itachukua wanafunzi si chini ya 10,000

Itakuwa ni private University. Lakini naamini wilaya mbali mbali zitakuwa tayari kuchukua fursa mimi
 
eeh labda atfute ardhi naeneo ya mbezi mwisho mpka kibamba,,au gongo la mbeto au kawe mpaka bunju eneo litakuwa kubwa na gharama nafuu,,,halafu broo nahitaji maelekezo flani kutoka kwako,,je nikuone inboxPM?
 
eeh labda atfute ardhi naeneo ya mbezi mwisho mpka kibamba,,au gongo la mbeto au kawe mpaka bunju eneo litakuwa kubwa na gharama nafuu,,,halafu broo nahitaji maelekezo flani kutoka kwako,,je nikuone inboxPM?
Nenda katavi utapata eneo la kutosha, kwani lazima dar?
 
Nadhani maelezo yako nado hayajajitosheleza mkuu!
ni mkoa gani unahitaji kupata hilo eneo?
ni ukubwa wa kiasi gani nadhani ukiweka wazi hayo itakufahisishia kupata taarifa sahihi zitakazo kusaidia
 
nadhani ukipeleka hii proposal wilaya yeyote unaweza hata kupewa ardhi bure.
 
Nipe mchongo umekaaje na levels ya shares, kuna aridhi inamilima mitatu ndani mwanza imenunuliwa kwa madhumuni ya kujenga shule pia inapakana na eneo ambalo cbe nao watajenga mwanza ipo karibu na mji rami itapita karibu na hapo in less than two years
 
Proposal yoyote yenye manufaa kijamii once ikiwa presented katika platform stahiki ni lazima ipate support hakuna linaloshindikana, ni vyema basi mwenye wazo husika akatoa particulars za kutosha ili kurahisisha zoezi la ushauri na hatimaye kuelekezwa kwenye dawati stahiki!
 
ardhi unapata tena bure kwa hilo wazo... Nina mwalimu wangi wa advance yaan form five na six yeye alikuwa na wazo la kufungua education center na shule ya sekondar... Mpango wake ulifanikiwa na alipewa eneo sehem moja morogoro njia ya kwenda dumila
 
Mkuu hilo ni wazo zuri, kwa kuzingatia ukuaji na maendeleo ya miji. ni vyema kama chuo hicho husika kikajengwa nje ya mji kwa mfano hapa dar, MUHAS wana eneo la kutosha huko Mlonganzila(Kibamba), Theofil Kisanji wana eneo huko karibia na Ngeta(Mlandizi), Open University wapo Kibaha kwa Mathias.
Kama ni uhitaji basi nadhani hayo maeneo yanaweza kufaa kwa lengo hilo.
 
Kuna ekari 300 mkoani Morogoro (about 45km kutoka Morogoro mjini kueleke Dodoma). Zinaweza kutosha kwa hiyo ndoto yako?
 
Katika mradi wa mji wa Kigamboni, kuna eneo limetengwa kwa ajili ya masuala ya elimu, kama universities , nakushauri kaitembelee ofisi husika ya Kigamboni Development Authorities (ofisi ipo hapo karibu na Mikadi beach ) wao watakushauri zaidi
 
Back
Top Bottom