Ardhi inagawiwa Bagamoyo eneo la barabara ya kwenda Saadan

Kamanda mie binafsi sioni hata maana ya kumiliki ardhi kwa wengi wetu. Binafsi kwa kijimshahara feki ninachopata sioni hata uwezekano wa kujenga nyumba walau ya vyumba 2! Hata ukijenga hakuna uwezekano wa kufikiwa huduma za kijamii kama shule, maji , umeme, achilia mbali barabara za uhakika au barabara na usafiri utakakuwezesha kufika 'mjini'..

It is very fustrating to be a common mdanganyika!

Mkuu ujasiliamali huanza kidogokidogo. Wenye nia ya kununua mashamba huko si kwa ajili ya kujenga nyumba kwa wakati huu, labda baadae sana kama mji wa Bagamoyo utaendelea kukua. Ila walio wengi wananunua kwa ajili ya kilimo cha mazao mbalimbali yakiwemo mananasi, matikiti maji n.k kwa ajili ya kujiongezea kipato.
 
kweli kabisa mkuu
 
kweli ardhi ipo,hapo palikuwa na ranchi ya Razaba ,pia kuna eneo la serikali ya zanzibar walipewa wafuge ng'ombe 1974,
kuna kampuni ya kulima bio-disel ilipewa hilo eneo ,walifanya enviromental impact analysis.you can verify this kliki hapa
http://www.sekab.com/Sve2/Informati...SIA Main Report FINAL- A4 Printed Version.pdf

sasa Kashaija umepitia kwa mkurugenzi wa manispaa kupata uhakika?
llini utaenda twende sote kama delegation ya JF

Yap, nimerudi.

Jana nilifanikiwa kufika huko, ni umbali wa km 40 tu kutoka Bgmy mjini. Ukitoka Bgmy, unafuata bara2 ya kwenda Msata, ukifika Makurunge unachukua bara2 ya kushoto kwako ambayo inakupeleka moja kwa moja mpaka kijiji kinaitwa Gama. Ukifika Gama ulizia Mwenyekiti wa kamati ya uuzaji anaitwa Bambadi.

Mimi nilifanikiwa kupata ekari 15 jana, ila anasema zoezi rasmi litaendelea wiki ijayo maana wanasubiri watu wa Ardhi Bgmy ili wawaonyeshe mipaka ya SEKARB na RAZABA kusudi wasije kuingilia maeneo hayo wakati wa kugawa.

Walimu na wafanyakazi wa Baobab secondary walibahatika kuwahi, maana siku J3 walikodi Hiace wakaenda wote na wakapata wote.
 
The said land was aquired by Sekab biofuels company,below ni extract from the report.
nimeitoa from page 50 of the report ,hii hapa http://www.sekab.com/Sve2/Informationssidor/Information%20PDF/05%20ESIA%20Main%20Report%20FINAL-%20A4%20Printed%20Version.pdf

Land Acquisition Process -RAZABA ranch in Bagamoyo​
In mid 2006 SEKAB International AB of Sweden carried out satellite images for 200km
boundary along the coast of Tanzania to determine its suitability for growing sugar cane
in order to produce ethanol. The satellite images tentatively indicated that some areas in
Bagamoyo and Rufiji districts are potential for large scale production of sugar cane that
can be used as feedstock for production of ethanol and electricity co-generation.​
��​
In February 2007 SEKAB BT wrote to the District Commissioners of Bagamoyo,
Kilwa and Rufiji applying for land for biofuel production and electricity cogeneration.

��​
In March 2007 SEKAB BT wrote to the Tanzania Investment Centre (TIC) to
request for land in Bagamoyo, Rufiji and Kilwa for large scale growing of energy
crops for production of ethanol and electricity co-generation.

FINAL REPORT
ESIA for Bioethanol Project, Bagamoyo​
51

��​
On 27 March 2007 Tanzania Investment Centre replied by writing to the District
Executive Directors to introduce SEKAB BT and asked for their assistance to
enable SEKAB BT to acquire the land for energy crop growing in order to
produce ethanol.

��​
On 28th March 2007 SEKAB BT specifically applied to the District Executive
Director for RAZABA Ranch for bio-fuel production and electricity production.

��​
On 30th March 2007 the Bagamoyo District Executive Director wrote back to
SEKAB BT saying that they did not have the authority over that land as it
belonged to Revolutionary Government of Zanzibar and directed SEKAB BT to
contact the Ministry of Agriculture or the Minister responsible for Union matters.

��​
On 10th August 2007 SEKAB BT applied to the State House to H.E President
Jakaya Mrisho Kikwete for RAZABA ranch in Bagamoyo as the custodian of the
land as per Land Act 1999.

��​
On 4th November 2007 the Minister responsible for Planning, Economy and
Empowerment wrote a letter to SEKAB BT informing them that the
Revolutionary Government of Zanzibar had agreed to allocate 22,000 ha of the
RAZABA ranch in Bagamoyo District and intended to keep 6,096 ha. It instructed
the Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development to carry out
the survey and issue a title deed. That costs for surveying and title deed to be born
by SEKAB BT.

��​
On 9th May 2008 the Chief Secretary, State House wrote a letter to SEKAB BT
informing that the division of the 26,787 hectares of RAZABA Ranch has been
completed and SEKAB has been allocated with around 22,000 hectares. Also, in
the same letter SEKAB BT was required to compensate for the acquisition of the
farm to the Revolutionary Government of Zanzibar.
The exact amount of compensation that is to be paid would be notified to SEKAB BT

once the land surveying exercise has been completed.
 
abdulahim usiwakatishe watu tamaaa
The name is A-B-D-U-L-H-A-L-I-M..spell it correctly!

Pili ninawakatisha watu tamaa kwa kuwaambia serikali ya CCM itavifisadi hivo vipande vya ardhi kwa highest bidder? Give me a break.
 
@Newmzalendo,

Nikisoma background ulioyoileta inaonekana hii nchi bado inatawaliwa na akina Chifu Mangungu..
 
i just found this info online,it seems uongozi wa kiji umeamua kuuza ardhi ambayo serikali kuu ilishaitoa kwa kampuni ya kuweza ktk kilimo cha mafuta/biodiesel kupitia mpango wa TIC(tanzania investement center)
@Newmzalendo,

Nikisoma background ulioyoileta inaonekana hii nchi bado inatawaliwa na akina Chifu Mangungu..
 
Yap, nimerudi.

Jana nilifanikiwa kufika huko, ni umbali wa km 40 tu kutoka Bgmy mjini. Ukitoka Bgmy, unafuata bara2 ya kwenda Msata, ukifika Makurunge unachukua bara2 ya kushoto kwako ambayo inakupeleka moja kwa moja mpaka kijiji kinaitwa Gama. Ukifika Gama ulizia Mwenyekiti wa kamati ya uuzaji anaitwa Bambadi.

Mimi nilifanikiwa kupata ekari 15 jana, ila anasema zoezi rasmi litaendelea wiki ijayo maana wanasubiri watu wa Ardhi Bgmy ili wawaonyeshe mipaka ya SEKARB na RAZABA kusudi wasije kuingilia maeneo hayo wakati wa kugawa.

Walimu na wafanyakazi wa Baobab secondary walibahatika kuwahi, maana siku J3 walikodi Hiace wakaenda wote na wakapata wote.

Mkuu hii ni ile sehemu wanalima sana mananasi?? ama? na ndo pale ile barabara ya lami itapita kuelekea msata toka bagamoyo?
 
Wanangu nitawarithisha elimu na uraia wa mama zao..hizo ardhi mnazozifakamia sasa hivi hazina hata title deeds na serikali ya mafioso na waganga njaa watazifisadi to the highest bidder at any time kwa kisingizio cha 'ardhi ni mali ya serikali', sasa ni obvious wanao wana hali mbali mpaka usawa huu..just think about it.

Pole
 
.....he!heheheeeee..cheap is expensive kijana......! umesikia ya Mkuranga wewe? enewei....ukija next week tabidi twende huko tukachugulie.......!
 
The said land was aquired by Sekab biofuels company,below ni extract from the report.
nimeitoa from page 50 of the report ,hii hapa http://www.sekab.com/Sve2/Informationssidor/Information%20PDF/05%20ESIA%20Main%20Report%20FINAL-%20A4%20Printed%20Version.pdf

Land Acquisition Process -RAZABA ranch in Bagamoyo​
In mid 2006 SEKAB International AB of Sweden carried out satellite images for 200km
boundary along the coast of Tanzania to determine its suitability for growing sugar cane
in order to produce ethanol. The satellite images tentatively indicated that some areas in
Bagamoyo and Rufiji districts are potential for large scale production of sugar cane that
can be used as feedstock for production of ethanol and electricity co-generation.​
��​
In February 2007 SEKAB BT wrote to the District Commissioners of Bagamoyo,
Kilwa and Rufiji applying for land for biofuel production and electricity cogeneration.

��​
In March 2007 SEKAB BT wrote to the Tanzania Investment Centre (TIC) to
request for land in Bagamoyo, Rufiji and Kilwa for large scale growing of energy
crops for production of ethanol and electricity co-generation.

FINAL REPORT
ESIA for Bioethanol Project, Bagamoyo​
51

��​
On 27 March 2007 Tanzania Investment Centre replied by writing to the District
Executive Directors to introduce SEKAB BT and asked for their assistance to
enable SEKAB BT to acquire the land for energy crop growing in order to
produce ethanol.

��​
On 28th March 2007 SEKAB BT specifically applied to the District Executive
Director for RAZABA Ranch for bio-fuel production and electricity production.

��​
On 30th March 2007 the Bagamoyo District Executive Director wrote back to
SEKAB BT saying that they did not have the authority over that land as it
belonged to Revolutionary Government of Zanzibar and directed SEKAB BT to
contact the Ministry of Agriculture or the Minister responsible for Union matters.

��​
On 10th August 2007 SEKAB BT applied to the State House to H.E President
Jakaya Mrisho Kikwete for RAZABA ranch in Bagamoyo as the custodian of the
land as per Land Act 1999.

��​
On 4th November 2007 the Minister responsible for Planning, Economy and
Empowerment wrote a letter to SEKAB BT informing them that the
Revolutionary Government of Zanzibar had agreed to allocate 22,000 ha of the
RAZABA ranch in Bagamoyo District and intended to keep 6,096 ha. It instructed
the Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development to carry out
the survey and issue a title deed. That costs for surveying and title deed to be born
by SEKAB BT.

��​
On 9th May 2008 the Chief Secretary, State House wrote a letter to SEKAB BT
informing that the division of the 26,787 hectares of RAZABA Ranch has been
completed and SEKAB has been allocated with around 22,000 hectares. Also, in
the same letter SEKAB BT was required to compensate for the acquisition of the
farm to the Revolutionary Government of Zanzibar.
The exact amount of compensation that is to be paid would be notified to SEKAB BT

once the land surveying exercise has been completed.

Mzalendo asante sana kwa kutumia muda wako kutupatia habari hii njema. Kulingana na report na taratibu ambazo zilikua zinaendlea ni vizuri Ofisi ya ardhi bagamoyo itoe maelekezo mazuri ili ifahamike kama huyo mwekezaji alikwisha pima eneo hilo au la, na kama wana mpango gani nalo kwa sasa. Mtu unaweza choma mafuta hadi kwenye shamba kumbe ni kimeo. Kama kuna offer na tittle hapo ni mchezo kwisha vinginevyo Rais atengue. Vinginevyo mwenye shamba akiibuka na FFU basi roho nyingine zitapotea maana Tanzania hii mwekezaji hata akiwa mchwara ni bora kuliko mzalendo. Sasa sijui kama lina hati itakuwa ni 99 years lease wakati hati zangu (isipokuwa moja 99 years) ni 33 years lease!

Wanangu nitawarithisha elimu na uraia wa mama zao..hizo ardhi mnazozifakamia sasa hivi hazina hata title deeds na serikali ya mafioso na waganga njaa watazifisadi to the highest bidder at any time kwa kisingizio cha 'ardhi ni mali ya serikali', sasa ni obvious wanao wana hali mbali mpaka usawa huu..just think about it.

Hapo umenena - Watu wanashika Ardhi kwa nguvu - wakati huo huo hawa "document" yoyote inayohalalisha umiliki! Sad!
 
Mkuu Kanyagio, ni PM tena, maana msg yako imefutika kwa bahati mbaya wakati natafuta mambo mengine.
 
Kashaija waitu ukirudi tu utupe taarifa za kina na tathimini nzima ya eneo hilo....Tutakuunga mkono mambo yote ni 'Kilimo Kwanza Bwana'
 
Wakuu ni kweli eneo la Ghama lipo, lakini kwa anye taka enda chukua huko shamba apate maangalizo haya:

-Ni mbali mno, yaani kutoka makurunge hadi huko ghama ni km 30, na toka makurunge hadi bagamoyo naamini ni zaidi ya km 10, hapo sikucheki ila for sure ni zaidi ya 40 km to bagamoyo

- Kwa ambaye hana usafiri binafsi, ni ghali sana, toka hapo makurunge hadi ghama ni sh 8,000 kwa usafiri wa pikipiki, kwa maana ni 16, 000 toka makurunge, vinginevyo ubahatishe trekta linalo enda huko!
- Udongo wa barabara ya kwenda huko ni mfinyanzi, yaani hata ikinyesha mvua kidogo tu haipitiki inateleza hadi bac tena!
- Utaratibu wanao utumia huyo mzee kugawa una walakini, sidhani kama anakumbukumbu sahihi ya jinsi anavyo gawa, mwisho wa yote, watu 20 mtajikuta mmegawiwa eneo moja. Yeye haoni shida kusema we anzia hapa uendeee hadi baharini, yaani kukutengea hekali 100 kwa macho si shida, wasi wasi ni je akija mwingine kesho anakumbukaje wapi aliishia ili hali hamna alama?
- Wakati wa masika ule mto unafurika sana, na kimsingi lile eneo halifai kwa makazi, ni kwa ajili ya mashamba tu, ambayo ndo hivo mvua ikizidi huwa yanamezwa na mafuriko!

-Hayo ni baadhi ya mapungufu niliyo yashuhudia, ila kwa anaye weza kabiliana nayo kila la heri!
 
Mkuu Rwabugiri, heshima mbele.

Nashukuru kwa post yako hii, ila huoni kama sifa nyingi ulizoeleza zinafaa kwa kilimo? Kumbuka hapa tunaongelea masuala ya mashamba na siyo makazi.

Kuhusu suala la bara2, napenda nikufahamishe kuwa bara2 hiyo iko katika mpango wa serikali wa kujengwa kwa kiwango cha rami ili kuunganisha Bgmy na mkoa wa Tanga. Malengo ya serikali ni kwamba mabasi ya kutoka Dar kwenda Tanga na nchi jirani kama Kenya sasa sasa yatapitia Bgmy badala ya kupita Morogoro road.

Lakini vile vile, watu wanaomiliki Ardhi nzuri sasa, ni wale waliodhubutu kutafuta mapori sehemu ambazo zilikuwa hazifikiki kwa wakati ule na sasa ni rami. mfano; eneo la Mapinga lilikuwa linafikika kwa taabu sana miaka 10 iliyopita kwa sababu ya ubovu wa bara2, lakini akina Daniel Yona walidhubutu na sasa anamiliki zaidi ya ekari 600 eneo la Zinga. Sasa hivi huwezi kupata eka 1 kwa chini ya millioni 3 katika maeneo hayo.

Vile vile unaposema ni mbali sana sijui unamaanisha ni mbali kutoka wapi? Maana kama ni mbali kutoka Dar nitashangaa kwani Wachina wasingetoka kwao kuja kuwekeza hapa maana ni mbali zaidi.

Hata hivyo, kupanga ni kuchagua "Baba wa Taifa"
 
Wakuu ni kweli eneo la Ghama lipo, lakini kwa anye taka enda chukua huko shamba apate maangalizo haya:

-Ni mbali mno, yaani kutoka makurunge hadi huko ghama ni km 30, na toka makurunge hadi bagamoyo naamini ni zaidi ya km 10, hapo sikucheki ila for sure ni zaidi ya 40 km to bagamoyo

- Kwa ambaye hana usafiri binafsi, ni ghali sana, toka hapo makurunge hadi ghama ni sh 8,000 kwa usafiri wa pikipiki, kwa maana ni 16, 000 toka makurunge, vinginevyo ubahatishe trekta linalo enda huko!
- Udongo wa barabara ya kwenda huko ni mfinyanzi, yaani hata ikinyesha mvua kidogo tu haipitiki inateleza hadi bac tena!
- Utaratibu wanao utumia huyo mzee kugawa una walakini, sidhani kama anakumbukumbu sahihi ya jinsi anavyo gawa, mwisho wa yote, watu 20 mtajikuta mmegawiwa eneo moja. Yeye haoni shida kusema we anzia hapa uendeee hadi baharini, yaani kukutengea hekali 100 kwa macho si shida, wasi wasi ni je akija mwingine kesho anakumbukaje wapi aliishia ili hali hamna alama?
- Wakati wa masika ule mto unafurika sana, na kimsingi lile eneo halifai kwa makazi, ni kwa ajili ya mashamba tu, ambayo ndo hivo mvua ikizidi huwa yanamezwa na mafuriko!

-Hayo ni baadhi ya mapungufu niliyo yashuhudia, ila kwa anaye weza kabiliana nayo kila la heri!

Heshima kwako Rwabugiri,

Mkuu wangu bahati mbaya sijui umri wako lakini nahisi bado ni kijana mwenye umri usio zidi miaka 25.

Rwabugiri hakuna sehemu unayoweza kuita mbali ndani ya JMT.Wapo jirani zetu wanatafuta wanatafuta ardhi sehemu yoyote ile pasipo kujali umbali nakushangaa wewe unaangalia umbali wa sehemu kwa kigezo cha nauli ya pikipiki na uteklezi ndugu yangu wenye akili wakikusika watakupiga mawe.

Watu makini ni lazima waanze kushika maeneo ya kilimo sasa kwasababu bank hapa Tanzania zimeshaanza kukopesha fedha kwa watu wenye mashamba yenye hati miliki.Wakaazi wa Dar Bagamoyo si mbali tafadhali sana jaribuni kuwa wabunifu wa miradi mabli mbali ya kilimo kwaajili ya kuinua kipata na hali ya maisha kwa ujumla.
 
Rwabugiri !!!;Nashukuru sana kwa post yako,inadhihirisha humu JF watu watendaji bado tupo :)).
nina maswali naomba unijibu nipate mwongozo,
1-ulienda na usafiri upi?
2-Je barabara kwa kipindi hiki inapitika kwa saloon car (imechongwa )au unahitaji 4x4 kufika huko ghama
3-ulifanikiwa kupiga picha sehemu/office ya kijiji etc,if yes naomba utupostie hapa jf
4-uliweza kupata namba ya mwenyekiti wa kijiji or any official wa kijiji
5-walizungumizia swala la wawekezaji wakubwa-view my privious post kuna kampuni ya biodiesel ipo karibu sana na hapo-inaitwa SeKab
Please JF members with interest to visit the place PM Me,i want to coordinate a site Visit we will start the trip from DAR To bagamoyo.
Rwabugiri kwa kuwa umeshafika huko itakuwa vizuri tukiongozona tena kwenda kuangalia hiyo sehemu nimeona katika Digital Map ipo karibu na bahari,ulifanikiwa kuona bahari ulipokwenda.
please clik on this link inaonyesha ipo karibu sana na Saadani
Gama Map | Tanzania Google Satellite Maps

Wakuu ni kweli eneo la Ghama lipo, lakini kwa anye taka enda chukua huko shamba apate maangalizo haya:

-Ni mbali mno, yaani kutoka makurunge hadi huko ghama ni km 30, na toka makurunge hadi bagamoyo naamini ni zaidi ya km 10, hapo sikucheki ila for sure ni zaidi ya 40 km to bagamoyo

- Kwa ambaye hana usafiri binafsi, ni ghali sana, toka hapo makurunge hadi ghama ni sh 8,000 kwa usafiri wa pikipiki, kwa maana ni 16, 000 toka makurunge, vinginevyo ubahatishe trekta linalo enda huko!
- Udongo wa barabara ya kwenda huko ni mfinyanzi, yaani hata ikinyesha mvua kidogo tu haipitiki inateleza hadi bac tena!
- Utaratibu wanao utumia huyo mzee kugawa una walakini, sidhani kama anakumbukumbu sahihi ya jinsi anavyo gawa, mwisho wa yote, watu 20 mtajikuta mmegawiwa eneo moja. Yeye haoni shida kusema we anzia hapa uendeee hadi baharini, yaani kukutengea hekali 100 kwa macho si shida, wasi wasi ni je akija mwingine kesho anakumbukaje wapi aliishia ili hali hamna alama?
- Wakati wa masika ule mto unafurika sana, na kimsingi lile eneo halifai kwa makazi, ni kwa ajili ya mashamba tu, ambayo ndo hivo mvua ikizidi huwa yanamezwa na mafuriko!

-Hayo ni baadhi ya mapungufu niliyo yashuhudia, ila kwa anaye weza kabiliana nayo kila la heri!
 
TAHADHARI...Hilo eneo la GAMA lina mgogoro hadi sasa...in fact mni eneo la hifadhi ya Taifa ya SAADANI KISHERIA. Kuna watu walishalipwa fidia zao hapo, wakaondoka, sema wamekuja wengine ndo wanatumia loop hole ya mambo ya uchaguzi kuwauzia wengine

ila kimsingi hilo eneo ni 'kimeo' na mtu yeyite anayejifanya kununua, basi ajua anajitia kitanzini

Jingine, kuna mwenye habari za uhakika kuwa SEKAB wameondoka? manake unaweza kujikuta umeuziwa eneo la RAZABA ambalo ndo wamemilikishwa SEKAB kwa mujibu wa nemzalendo!

tusipende vitu vya chee ivo
 
Back
Top Bottom