Ardhi inagawiwa Bagamoyo eneo la barabara ya kwenda Saadan

TAHADHARI...Hilo eneo la GAMA lina mgogoro hadi sasa...in fact mni eneo la hifadhi ya Taifa ya SAADANI KISHERIA. Kuna watu walishalipwa fidia zao hapo, wakaondoka, sema wamekuja wengine ndo wanatumia loop hole ya mambo ya uchaguzi kuwauzia wengine

ila kimsingi hilo eneo ni 'kimeo' na mtu yeyite anayejifanya kununua, basi ajua anajitia kitanzini

Jingine, kuna mwenye habari za uhakika kuwa SEKAB wameondoka? manake unaweza kujikuta umeuziwa eneo la RAZABA ambalo ndo wamemilikishwa SEKAB kwa mujibu wa nemzalendo!

tusipende vitu vya chee ivo
Baelezee hao wapenda dezo.....:sleepy:
 
tunafatilia kwa ukaribu na umakini zaidi...
shukrani anyway
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom