MaxAyo
Senior Member
- Nov 14, 2011
- 122
- 32
Hi Fellas! I am a freelance 3D artist mostly working with Architecture visualization.
Ningependa kuwajua watu wengine wanaofanya kazi zinazofanana na zangu... nimewatafuta sana facebook bila mafanikio. Hapa nimeweka picha ya baadhi ya kazi zangu(high resolution),
A little Info, Residential house nimetumia Revit Architecture na Office building nimetumia ArchiCAD, katika zote hizi nimetumia 3ds Max kufanya rendering, Karibuni.
Residential Villa
Office Building