Arab Man

na wewe mtoa mada kwanini usiweke mmasai ukaweka mwarabu.... hebu nijuze mna matani na warabu nyie,,,, mbona nyie hamuyataki,,

Usiwe na hofu, hii ni joke tu NILHAM RASHED, Japo utani una maana pia. Wamasai hawana hiyo kitu
hata sisi wakandamizaji hatuna
 
i cant blame you...... ntakachokifanya ni kukuombea kwaa allah akuzibue fham zako na kukufumbua macho yako.... kikawaida yangu wallah huwa siwezi kubishana kwa mambo ya kipuuzi.... while kitu sahihi nakifaham mimi mwenyewe... allh akusameh..
Mh!nafikiri mila na desturi ni ushahidi tosha,na hasa ukizingatia wenzetu wana maswala ya sunnah,hivyo ulaji wa tigo ni kitu cha kawaida kwao!!
 
sasa ni kuulize wewe shekhe mjua sunnah,,,,,, kula tigo pia ni sunnah,,,,,??? na sunnah hiyo ulianza kuifanya wewe nini?? rabbi ghufirli warahamni.... ina lillah waina illah rajiun...

mmmmxxxxyyyymmmsss........... sasa we ukaona arabs ndio wanayo mambo hayo.... haya allah akusameh.... na wewe pia ni miongoni mwa waaaleee....................
Usiwe na hofu, hii ni joke tu NILHAM RASHED, Japo utani una maana pia. Wamasai hawana hiyo kitu
hata sisi wakandamizaji hatuna
 
i cant blame you...... ntakachokifanya ni kukuombea kwaa allah akuzibue fham zako na kukufumbua macho yako.... kikawaida yangu wallah huwa siwezi kubishana kwa mambo ya kipuuzi.... while kitu sahihi nakifaham mimi mwenyewe... allh akusameh..

Jiombee mwenyewe na mizigo yako ya dhambi,ya kwangu niachie mwenyewe kwa kuwa kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.Sihitaji sara zako!!
 
inshallah ya rabb allah atanihifadhi na awahifadhi islam wote kwa ujumla...nikuombacho usikasirike tuu kwani haitakuwa ikifaa kwa dini yoyote ile,,,, ukizingatia tulikuwa tukiambiana ukweli... sasa sioni sababu ya kupanic my dear.... nimekuskia na kukufaham,,, shukran.....
Jiombee mwenyewe na mizigo yako ya dhambi,ya kwangu niachie mwenyewe kwa kuwa kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.Sihitaji sara zako!!
 
mmmmxxxxyyyymmmsss........... sasa we ukaona arabs ndio wanayo mambo hayo.... haya allah akusameh.... na wewe pia ni miongoni mwa waaaleee....................

Nisamehe kwanza wewe, ukinisamehe hata Allah atanisamehe mara moja.
Usininipige kamba jamani hii ni joke tu, pls NILHAM nitakosa amani ukinichukia, hebu sema neno basi nipate kupumua vizuri zaidi.
 
sasa ni kuulize wewe shekhe mjua sunnah,,,,,, kula tigo pia ni sunnah,,,,,??? na sunnah hiyo ulianza kuifanya wewe nini?? rabbi ghufirli warahamni.... ina lillah waina illah rajiun...

Mimi sio shekhe na wala sihitaji kuwa shekhe katika maisha yangu!!
 
inshallah hakuna mkamilifu dunia hii ispokuwa allah,,,, mimi nafsi yangu nyeupe kwa kila mtu my dear hata unitukane sina nisemalo zaidi ya kumkabidhi allah na kusema hewallah.... i'm ok...
Nisamehe kwanza wewe, ukinisamehe hata Allah atanisamehe mara moja.
Usininipige kamba jamani hii ni joke tu, pls NILHAM nitakosa amani ukinichukia, hebu sema neno basi nipate kupumua vizuri zaidi.
 
sasa basi acha kusema usichokifahamu..... in short tuku tuku sipendi wala sijawah kugombana na mtu katika chating,,,, beside hal yangu hainiruhusu,,,, i'm sick...
Mimi sio shekhe na wala sihitaji kuwa shekhe katika maisha yangu!!
 
sasa basi acha kusema usichokifahamu..... in short tuku tuku sipendi wala sijawah kugombana na mtu katika chating,,,, beside hal yangu hainiruhusu,,,, i'm sick...
Sidhani kama tunagombana,nachojua mimi ni mgongano wa mawazo tu!usichukie pale unapoona kitu au hoja haijakufurahisha.Kuna baadhi ya hoja nimezijibu,ingawa sikuuliza lengo langu ikiwa ni kuchangamsha mjadala,lakini ulivyonijibu haikuwa vizuri kwakweli.Mimi sina kinyongo na wewe nachojua tupo hapa kubadilishana mawazo!!
 
you are welcome...

Kuna joke moja niliisoma kwenye gazeti la The African, miaka mingi kidogo(1990s) juu ya lafudhi za ndugu zetu waarabu. Mwarabu alifika uwanja wa ndege Uingereza na akawa anaulizwa na Afisa Uhamiaji sababu ya yeye kwenda Uingereza. Akajibu " I am a Tourist, lakini akatamka kama vile mtu aliyesema-I am a terrorist", Kimbembe chake, polisi wakaitwa wakajaa ! Alishangaa akaona hawamwelewi, akatambua hilo akaonyesha " bunda la Dollars na kusema -I have come to Sbend (akimaanisha to Spend). Wakajua ni mtalii!

Huko nje alipoanza safari alipotaka kuvuta sigara, akamuuliza polisi kama anaweza kupaki gari sehemu aliyofika, lakini akatamka, Can I bark here? (badala ya park) Polisi akamjibu " as much as you can! Jamaa akapaki akapiga pafu-japo polisi akashangaa mbona jamaa habweki kama alivyoomba?
Nilha -usije juu just jokes!
 
basi si afadhali ingekuwa joke kama hii yako kuliko joke ya kudhalilisha watu.... yeahhh!! i agreed with u ni joke,,, lakini si kuvuka mipaka namna hii... bado mi katika maisha yangu huku ninapoishi sijawahi kusikia joke ya mtanzani kiudhalilishaji namna ya walivyodhalilisha watu hapo juu,,, lakini its okay... ni joke ndio... nshakubalii...
Kuna joke moja niisoma kwenye gazeti la The African, miaka mingi kidogo(1990s) juu ya lafudhi za ndugu zetu waarabu. Mwarabu alifika uwanja wa ndege Uingereza na akawa anaulizwa na Afisa Uhamiaji sababu ya yeye kenda Uingereza. Akajibu " I am a Tourist, lakini akatamka kama vile mtu aliyesema-I am a terrorist", Of course walivyokuwa hawamuelewi akaonyesha " bunda la Dollars na kusema -I have come to Sbend (akimaanisha to Spend).

Huko nje alikodi kari , sasa alipotaka kuvuta sigara, akamuuliza polisi kama anaweza kupaki gari sehemu hiyo, lakini akatamka, Can I bark here? (badala ya park) Polisi akamjibu " as much as you can! japo polisi akashangaa mbona jamaa habweki kama alivyoomba?
Nilha -usije juu just jokes!
 
Kuna joke moja niliisoma kwenye gazeti la The African, miaka mingi kidogo(1990s) juu ya lafudhi za ndugu zetu waarabu. Mwarabu alifika uwanja wa ndege Uingereza na akawa anaulizwa na Afisa Uhamiaji sababu ya yeye kwenda Uingereza. Akajibu " I am a Tourist, lakini akatamka kama vile mtu aliyesema-I am a terrorist", Kimbembe chake, polisi wakaitwa wakajaa ! Alishangaa akaona hawamwelewi, akatambua hilo akaonyesha " bunda la Dollars na kusema -I have come to Sbend (akimaanisha to Spend). Wakajua ni mtalii!

Huko nje alipoanza safari alipotaka kuvuta sigara, akamuuliza polisi kama anaweza kupaki gari sehemu aliyofika, lakini akatamka, Can I bark here? (badala ya park) Polisi akamjibu " as much as you can! Jamaa akapaki akapiga pafu-japo polisi akashangaa mbona jamaa habweki kama alivyoomba?
Nilha -usije juu just jokes!
Mambo ya lugha hayo, si mchezo ukishindwa unatumia hata lugha picha
 
Back
Top Bottom