zimbwe Member Dec 26, 2011 15 3 Dec 29, 2011 #1 Niliapply kazi SSRA wakaniita kwenye interview ya kwanza,tukafanya mtihani kwenye mwezi wa 11 hivi na mpaka sasa kimya.inakuaje hii.
Niliapply kazi SSRA wakaniita kwenye interview ya kwanza,tukafanya mtihani kwenye mwezi wa 11 hivi na mpaka sasa kimya.inakuaje hii.
tindikalikali JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,855 1,117 Dec 29, 2011 #3 nenda ukawaulize wenyewe mkuu