Application not compatible with my damn phone

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
hbr zenyu wakuu.. Nina ki nokia N97 mini na kuna apps fulan zinazokubali kwenye symbian 60 (N73) nikijaribu ingiza zinagoma mfano kama magemu yaliyopo wapking.com (fifa 2009,fifa 2007) yana install ila hayacheZI. Wataalam,je kuna soln hapa!?natanguliza shkrn
 
Nokia N97 Mini ni Touch screen na Nokia N73 ni yakawaida, hapo Games zinazo cheza kene N73 inaweza kua vigumu kucheza kene N97 kwasababu ya kutokua na buttons mfano Game ya FIFA kene N73 inahitaji buttons to control kama vile 2,4,5,6, 8,0,* na # ambazo kene N97 hazipo mpaka hapo utaona kua nivigumu kwa app ya N73 kufanya kazi kene N97.

Nakushauri tafuta apps specific kwaajili ya N97 ambazo zina support Touch input ambazo zitafanya kazi kene N97 bila shida
 
Kwa upande wangu, natumia Nokia E61i, na app zinakubali kufanya kazi ikiwa kama tu sitozima simu baada ya installation. Najaribu kutafuta apps. sahihi, na ambazo hapo awali hazikunisumbua kama Operamini 7, ila bado napata tabu. Je nifanyeje?
 
If you damn your own phone it wont work for you efficiently. Why not treat it with respect?
 
Kwa upande wangu, natumia Nokia E61i, na app zinakubali kufanya kazi ikiwa kama tu sitozima simu baada ya installation. Najaribu kutafuta apps. sahihi, na ambazo hapo awali hazikunisumbua kama Operamini 7, ila bado napata tabu. Je nifanyeje?

download opera hapa
 
Umejaribu version ya chini kidogo? Opera 7 inazingua sana ktk java phones nyingi nilizotumia
 
Operamini 6 ina tatizo sambamba na hilo, Operamini 4.4 ina huduma finyu sana. Operamini 7 ilikuwa poa kwani inawezesha kufungua tab nyingine, pia copy & paste n.k vinawezekana.
Umejaribu version ya chini kidogo? Opera 7 inazingua sana ktk java phones nyingi nilizotumia
 
Nokia N97 Mini ni Touch screen na Nokia N73 ni yakawaida, hapo Games zinazo cheza kene N73 inaweza kua vigumu kucheza kene N97 kwasababu ya kutokua na buttons mfano Game ya FIFA kene N73 inahitaji buttons to control kama vile 2,4,5,6, 8,0,* na # ambazo kene N97 hazipo mpaka hapo utaona kua nivigumu kwa app ya N73 kufanya kazi kene N97.

Nakushauri tafuta apps specific kwaajili ya N97 ambazo zina support Touch input ambazo zitafanya kazi kene N97 bila shida

poa mkuu nimekusoma
 
mkuu kama alivoeleza ningar ila kuongezea n97 ni series s60v5 yenye os ya symbian 9.4 wakati n73 ni series ya s60v3 yenye os ya 9.1. So technically n97 inakubali games na apps kali kuliko n73.

Ntakusaidia website chache za magame na apps.

Game za java

gameclub1 - peperonity.com

wanahost website za kirusi neno ckayat means download

symbian hd games

aamin.world1 - peperonity.com

hayana screenshot kwenye website ya juu so google majina ya magame utakayoyaona kupata review na screenshot.

App angalia result hii

s60v5 best app - Google Search
 
salute mkuu
 
hivi hizi nokia mbona zinazigua kwa upande wa apps maana na mimi nina NOKIA 5250 inanisumbua sna hasa upande wa internate na apps kama whatsapp niki istall haikai hata mwezi inahitaji update ukijaribu kuiapdade inakwambia no space mpaka inaniboa kusema kweri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom