PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
Habari zenu wadau popote mlipo, jamani naombeni mnisaidie kuzitoa hizi application errors msg zinatokea kweli kwenye screen yangu mpaka napata wasiwasi kuwa kuna siku litanizimikia kabisa, naomba mnipe mbinu jinsi ya kusolve ili hizo errors zisitokee tena. Nimegoogle sana lakini bado sijafanikiwa.
1. Error msg ya kwanza iko hivi
iexplorer.exe-Application Error.
The instruction at "0x7c911a5c" referred memory at "0x632e7364", The memory could not be "read". click on Ok to terminate the program , click cancel to debug the program.
OK CANCEL
2.Error msg ya pili iko hivi
drwtsn 32.exe-Application Error
The exception unknown software exception (0xc0000409) occured in the application at location 0x59a7295d
OK CANCEL
Natanguliza shukran