Wana maana hawataki mafisadi hapo....vijana kibao mtaani wanahangaika, post ikitoka, badala ya kuchukua vijana baadhi ya taasisi vinachukua vizee viliexpire,...kisa expirience, sasa unafikiri mbadala wake nini ni?? piga chini waliostaafu kwa kigezo chochote kile, kiwe cha umri ama kashfa, huitajiki. Nadhan maelzo yanajitosheleza

only in Tanzania!!hivi kila mtu mwene utumishi mrefu kazini ni fisadi??
[B said:Abdulhalim[/B];2866611]Wewe huna akili kabisa..hivi kila mtu mwene utumishi mrefu kazini ni fisadi?? pambaf sako
wewe ndio utabaki kijana milele???
mpaka sasa hivi nafanya kazi serikarini lakini ikitokea nikapata firm ya kuajili sitakubali kumuajiri mtu yeyote aliyewahi kufanya kazi serikarini hata kama ni mfagiaji tu! Kiukweli kuna wakati mwanangu akiniuliza kama naenda kazini simjibu,aibu...