Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply

PAFKI

Senior Member
Sep 30, 2011
116
38
Inanichanganya sana hebu wana JF NIFAFANULIEN mwajiri anapotangaza na kutoa sharti hilo ana maana gani?
 
Wana maana hawataki mafisadi hapo....vijana kibao mtaani wanahangaika, post ikitoka, badala ya kuchukua vijana baadhi ya taasisi vinachukua vizee viliexpire,...kisa expirience, sasa unafikiri mbadala wake nini ni?? piga chini waliostaafu kwa kigezo chochote kile, kiwe cha umri ama kashfa, huitajiki. Nadhan maelzo yanajitosheleza
 
SAwa kabisa mkuu!!
 
Wewe huna akili kabisa..hivi kila mtu mwene utumishi mrefu kazini ni fisadi?? pambaf sako
 
Wana maana hawataki mafisadi hapo....vijana kibao mtaani wanahangaika, post ikitoka, badala ya kuchukua vijana baadhi ya taasisi vinachukua vizee viliexpire,...kisa expirience, sasa unafikiri mbadala wake nini ni?? piga chini waliostaafu kwa kigezo chochote kile, kiwe cha umri ama kashfa, huitajiki. Nadhan maelzo yanajitosheleza

Tena hawa wazee wastafu ndiyo wametufikisha hapa pabaya. Rushwa na mikataba mibovu ya kikoloni!!! Kazi nyingine unatafuta ya nini?
 
Wana maana hawataki mafisadi hapo....vijana kibao mtaani wanahangaika, post ikitoka, badala ya kuchukua vijana baadhi ya taasisi vinachukua vizee viliexpire,...kisa expirience, sasa unafikiri mbadala wake nini ni?? piga chini waliostaafu kwa kigezo chochote kile, kiwe cha umri ama kashfa, huitajiki. Nadhan maelzo yanajitosheleza

wewe ndio utabaki kijana milele???
 
Kwanza napingana kiasi fulani na hili suala la 'experience'. Kwa tafsiri nyingine ni watu wanaofanya kazi kwa mazoea na ndio yametufikisha hapa. Tunahitaji ideas mpya, na hatuwezi kuzipata kwa wastaafu.

Mpe hongera huyo mwajiri aliyekataa vibabu na watu wanaohama kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kunepanepa wkt wengine wako nje wanatafuta kazi.
 
[B said:
Abdulhalim[/B];2866611]Wewe huna akili kabisa..hivi kila mtu mwene utumishi mrefu kazini ni fisadi?? pambaf sako

Abdulhalim Huna tofauti na choo cha ma.vi kilichojaa!!
 
mpaka sasa hivi nafanya kazi serikarini lakini ikitokea nikapata firm ya kuajili sitakubali kumuajiri mtu yeyote aliyewahi kufanya kazi serikarini hata kama ni mfagiaji tu! Kiukweli kuna wakati mwanangu akiniuliza kama naenda kazini simjibu,aibu...
 
Wanazuia watu walioacha kazi au kuachishwa au kustaafu kwa hiari au lazima kutoomba kazi hizo
 
mpaka sasa hivi nafanya kazi serikarini lakini ikitokea nikapata firm ya kuajili sitakubali kumuajiri mtu yeyote aliyewahi kufanya kazi serikarini hata kama ni mfagiaji tu! Kiukweli kuna wakati mwanangu akiniuliza kama naenda kazini simjibu,aibu...

Kumbe serikalini ni kubaya eenh????? Mnakaa tu??
 
mpaka sasa hivi nafanya kazi serikarini lakini ikitokea nikapata firm ya kuajili sitakubali kumuajiri mtu yeyote aliyewahi kufanya kazi serikarini hata kama ni mfagiaji tu! Kiukweli kuna wakati mwanangu akiniuliza kama naenda kazini simjibu,aibu...

Pole sana ila nahisi inategemea na position uliyonayo huko!!
Mimi pia nipo serikalini lakini nipo busy sana na shughuli za kazini lakini nikipata nafasi huwa naenda kwenye shughuli zangu binafsi, yaani nafanya kazi za consultancy,...... n.k kupata hela za ziada!!!! Na zinalipa sana. Hivyo nikienda kazini ni kweli nipo kazini!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom