Apple A10 VS Snapdragon 820, which is best?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,020
Nimeona apple hawana mchezo, sasa kwenye simu zao wanatumia System on Chip Apple A10 ambayo ni nzuri sana kwa gaming (hexa-core GPU).
Snapdragon 820 wataweza moto?
Hizi A10 ni latest zimekuja na iPhone 7 na 7s pia snapdragon 820 zipo kwa Lumia 950 na 950XL.
Tukishindanisha hizi flag ship za hizi simu kila idara ipi ni fatest?
Sijawahi tumia iphone yoyote ila windows mobile nimetumia sana na nazipenda sana sababu ni fasta mno kwenye performance, ukiwasha ukizima yani hukawii na hardware ni strong.
Walisema Lumia 950 itakua na uwezo sana na computer! embu tupeni ujuzi wanaoitumia jaman.

Pitia hapa kuisoma Snapdragon zaidi
Snapdragon 820 Processor with X12 LTE | Quad-Core CPUs | Qualcomm

https://www.qualcomm.com/products/snapdragon/processors/820
Pitia hapa kuisoma Apple A10 zaid hapa.
Apple's new A10 Fusion processor is 120 times faster than the original iPhone
 
lumia 950 na 950xl zinatumia sd 810 na sio 820. simu ya windows 10 mobile yenye sd 820 ni hp elite x3.

na 950 haina uwezo wa computer, ili kifaa kiwe na uwezo kama computer inabidi kiwe na processor za x86 na sio hizi zinazotumika kwenye simu yaani arm.

kifaa ambacho kinakaribiana na simu huku kikiwa na nguvu kama computer ni GPD win. cheki video yake
 
Ok thanks for correction, pia nimecheki video youtube hio lumia 950 ukiweka kwenye laptop unaweza kuicontol kwenye laptop, yan display na kila kitu kwenye screen ya pc inaonekana kama ilivo kwenye simu
 
yap inaitwa continuum, ila ina limitation haiwezi kurun x86 app. siku microsoft wakitoa simu yenye processor ya x86 utaweza kuiconect tu na monitor au tv na kuitumia simu kama desktop.

sasa hivi continuum inarun apps ambazo ni universal zinazokubali kwenye simu na pc, kama una windows 8 au 10 utajua windows ina app za aina mbili za kwenye store na za kawaida kwenye desktop, sasa continuum yenyewe inarun zile za kwenye store tu.
 
Nice mkuu, ila hiyo simu ya hp ntaifuatilia zaid
 
Dado snapdragon yupo juu kuanzia kwenye performance na kwenye heavy game pamoja apple wamekuja na hii A-10 Fusion bado snapdragon 820 Ina nguvu kubwa

Mwakani watakuja na processor 830

Sent from mTalk
 
si kweli mkuu, a10 ina nguvu sana tena sana kuipita sd 820 au soc nyengine yoyote unayoijua wewe, ila sababu sd820 ni ya zamani tuombe tu mungu sd830 iwe na nguvu zaidi au intel atoe core m za simu
 
..inategemea Mkuu,kuna Games nzitoo kweli lazma ipate moto tu
iPhone mna maringo saana lakini hamna lolote. embu fikiria hiyo GPU ya hexa-xore inapata moto sasa ni nini hiyo kama sio geresha tuu? bora nikomalie samsung na window, pia napata contrast nzuri ya LED ya vioo vyao sio huo uchwara wa iPhone.
 
..Sawa kiongozi,Komaa nazo
 
Back
Top Bottom