Apartment zinapangishwa.

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Zipo kimara suka. Mita chache kutoka barabara kuu(Morogoro Road) Zina chumba kimoja cha kulala, sebure, choo na bafu na jiko ndani kwa ndani au self contained.
kodi kwa mwezi sh 150,000/-. Kwa mwezi. kwa maelezo zaidpiga simu na 0717114409 au 0755312233
 
Je ukubwa wa vyumba ukoje kwa mfano sebule na cha kulala na hiyo laki moja unusu unatoa kila mwisho wa mwezi au ndio unalipia pango kwa mwaka mzima.Pia ingenoga ungetoa picha zake hapa jamvini,pia nataka kujua kama ziko ndani ya fensi n.k
 
jamani acheni uswahili, c ameweka simu zake hapo...if ur interested call the guy arrange with him and go have a look/survey. sidhani kama utalazimishwa kulipia nyumba bila ww kuikagua nakuridhika nao...mambo ya picha sijui dimensions...acheni hizo..:mad2:
 
Tatizo hiyo sehemu kwa watu tufanyao kazi maeneo ya kurasini itatubidi tuamke saa kumi asubuhi!
 
jamani acheni uswahili, c ameweka simu zake hapo...if ur interested call the guy arrange with him and go have a look/survey. sidhani kama utalazimishwa kulipia nyumba bila ww kuikagua nakuridhika nao...mambo ya picha sijui dimensions...acheni hizo..:mad2:

Biashar za siku hiizi tofauti kabisa na za zamani, mbona price tag ameweka? Kizuri chajiuza, kabla mtu hajapoteza mia tano yake kupiga simu, wachilia mbali lita sita zake za diesel kwenda kuona nyumba ni vizuri ikamvuta kwanza kwa macho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom