Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
Hahaha! Mwite bana, mwambie hanikuti tena stand...
nilimPM si umeona kaja?
Hahaha! Mwite bana, mwambie hanikuti tena stand...
Kuna kiwanja kinaitwa Butiama night club........anioneshe maviwanja niaje niaje!
... kiloba cha viazi a.k.a manumbu!!!
Hayo makitu matam sana hasa ukiyapiga kwa nido.
nitalala shinyanga mjini...ntashinda na kesho...sijawahi fika so inakua ngumu hata kusema ntalala wap!