any body anaeweza kunisaidia kwa hili tafadhali

Useme sasa unahitaji msaada gani?
1 mume
2 jinsi ya kuchagua mume
3 jinsi ya kuvua samaki kwenye pool yako (kama una wachumba 3 ubakizeje mmoja)
4 ...
Tambua kwanza nini kinakusumbua
 
nno wawili na huu ndo muda muafaka wa kubaki na mmoja

Fanya hivi binti, Angalia vipaumbele vyako halafu viweke kwenye order ya preference mfano Uchumi , Elimu , Handsome, Family background, nk halafu wote unawatia kwenye kikaango cha 1-10 unaangalia nani ana score nyingi.

Mathematically hii ni okay lakini katika maisha ya kawaida bado unaweza kuingia choo cha kiume.Use it at your own risk sio kesho unakuja unalalamika "Oooooh maundumula nioe mke wa pili nimechemsha" mi sitaki bana
 
AHAHAAAAA...pole sana dadangu....hapa ndio utamu unapoanzia..na imeandikwa mshahara wa dhambi ni mauti...yafuatayo hapa ni madhambi uliyofanya n you have to pay accordingly my dear:-

1- umekuwa na mwanaume zaidi ya mmoja na kila mmoja umemuaminisha kuwa unampenda na yupo pekee maishani mwako

2- kila mwanaume ulenaye unampenda kwa vigezo tofauti alivyonavyo ukilinganisha na mwengine..say umenipenda mie coz nipo fresh kiuchumi na sivutii kuwa nawe na mwengine kisa ni handsome n caring but kachoka kiuchumi n u r scared kuwa naye ukihofia ugumu wa maisha

3- wewe ni kicheche ila unajificha katika kivuli cha mapenzi ya wizi na ya usiri kiasi hata wazazi wako hawkujui...."multiple personalities"

MY TAKE.... bora usiolewe na mmoja kati ya hao woote...go back to ur drawing board and come up wit a new concept for a real man u need in ur life...failure to do so means a life tyme regrets with sessions of sorrow n tears plus cheating and blahblahhhh.
 
Huu ni wakati mgumu kuliko nyakati zote nilizowahi kupitia katika maisha yangu....nashindwa kufanya choice who is the right man to marry, nahisi kosa dogo litaninyima raha maisha yote, nahitaji msaada.

Unahitajo msaada gani dada yangu? sema ili tuweze kukusaidia
 
Fanya hivi binti, Angalia vipaumbele vyako halafu viweke kwenye order ya preference mfano Uchumi , Elimu , Handsome, Family background, nk halafu wote unawatia kwenye kikaango cha 1-10 unaangalia nani ana score nyingi.

Mathematically hii ni okay lakini katika maisha ya kawaida bado unaweza kuingia choo cha kiume.Use it at your own risk sio kesho unakuja unalalamika "Oooooh maundumula nioe mke wa pili nimechemsha" mi sitaki bana
hahahaaa ntaaply hii, thank u........
 
AHAHAAAAA...pole sana dadangu....hapa ndio utamu unapoanzia..na imeandikwa mshahara wa dhambi ni mauti...yafuatayo hapa ni madhambi uliyofanya n you have to pay accordingly my dear:-

1- umekuwa na mwanaume zaidi ya mmoja na kila mmoja umemuaminisha kuwa unampenda na yupo pekee maishani mwako

2- kila mwanaume ulenaye unampenda kwa vigezo tofauti alivyonavyo ukilinganisha na mwengine..say umenipenda mie coz nipo fresh kiuchumi na sivutii kuwa nawe na mwengine kisa ni handsome n caring but kachoka kiuchumi n u r scared kuwa naye ukihofia ugumu wa maisha

3- wewe ni kicheche ila unajificha katika kivuli cha mapenzi ya wizi na ya usiri kiasi hata wazazi wako hawkujui...."multiple personalities"

MY TAKE.... bora usiolewe na mmoja kati ya hao woote...go back to ur drawing board and come up wit a new concept for a real man u need in ur life...failure to do so means a life tyme regrets with sessions of sorrow n tears plus cheating and blahblahhhh.[/QUOT
teh teh teh uliza ujibiwe, sijamuaminisha mtu juu ya hili isitoshe wanajuana
ni kicheche na ndo maana muda wa kutulia umefika
 
anybody hayupo,akija atakushauri!

Kuwa na yule ambaye anakupenda zaidi, anakuthamini zaidi, anakuheshimu zaidi
anakuappreciate zaidi
anakutunza zaidi na anayekukuna zaidi!
 
Ndugu yangu kama ni kuhusu swala la kuolewa ilo ni nyeti sana ni swala ambalo linaitaji mambo ya kimungu zaidi, kwani maisha ya ndoa sio ya honey ,na sweet tu , maisha ya ndoa ni zaidi ya hivyo ,unatakiwa uwe makini sana kwanza kwa kuangalia mtu utakaye weza ishi nae,na mtakae weza kupangilia maisha na kujenga familia bora! ukitumia akili zako utajuta! maisha yako yote. usifanye ana anado!
 
Back
Top Bottom