Anuani ya Niras Finland

KIJIGOJUNIOR

Member
Mar 5, 2011
27
17
Wana JF,

Kuna nafasi ya kazi (Land Registration Advisor) imetangazwa na Niras Finland na kituo cha kazi kitakuwa huko Zanzibar. Mwenye kujua anuani yao tafadhali naomba aweke humu ili niweze kuomba maana nimejaribu kufungua ili niombe online bila mafanikio

Nawasilisha
 
Watanzania jifunzeni kutumia search engines kama google na nyengine, vinginevyo utakuwa looser kila siku.
Haya hao jamaa si ndo hawa hapa.

[h=4]Tanzania[/h]NIRAS Tanzania Ltd.
Ms. Paivi Lehtonen, Country Representative
Plot 473, Haile Selassie road
Msasani Peninsular
P.O. Box 23070
Dar es Salaam
Tanzania T: +255 22 260 2360
M: +255 753 102 006
 
Back
Top Bottom