Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Round ya 3.
Haijarushwa ngumi hata moja. Hili pambano linakwwnda kuwa bovu. Joshua anakimbia tu ulingoni
Daah kweli mchezo wa ngumi umegeuka kua tamasha la vituko

Imekuaje tena kampasua mwenzake jicho lakini anakimbia?

Au anamlia timing ammendee jicho lingine lililobaki?
 
Joshua ana muogopa ruiz na Kama akijiamini Joshua anamaliza mapema tu pambano ila anonekana keshakata pumzi na Hilo litamkosti joshua
 
Mhh pambano gumu manina
Kibonge mbishi. Huyu kibonge inabidi AJ awe mjanja mjanja akisema aende naye open game atapigwa tena arrggghhh 😬😬😬
ukiwa mkaidi utapigwa tu in "MIZENGO PIÑDA'S VOICE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom