Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

Kuhusu hilo la milioni 900 sina ushahidi nalo.....

Ila.....

Mh.mama Anna Makinda ameanza kuwa mtumishi wa umma toka miaka ya nyuma na MSICHOKIJUA ni kuwa mh.Makinda ni MBANA MATUMIZI KWELIKWELI.....na mwekezaji wa KILIMO ,na biashara vidogovidogo toka miaka ya 90......kwa hulka na tabia zake hizo sishangai akiweza kununua NYUMBA YA GHARAMA KUBWA KIDOGO..........

My take:

Tupende kuutafuta ukweli kabla ya KUWACHAFUA WAZEE WETU....WAMELITUMIKIA TAIFA HILI KWA UZALENDO MKUBWA....WAACHWE WAPIMZIKE
Isitoshe Binti ake ambae ni mtoto ake pekee wa kumzaa iyo $400.000(900M TZS ,kwa kazi anayo fanya USA ashindwi mnunulia mama ake nyumba.Pia nikiangalia sioni nini kinampekea yeye kwa sasa kununua Nyumba kwa sababu ana shida ya kuwa na nyumba nyingine kwa sasa
 
huyo mama ana channel nyingi sana za kipato, pia mafao yake katika ngazi mbali mbali za uongozi, hakuwa mtumiaji wa kuonekanaa sasa muda umewadia wa kujifunua matumizi

ata hii huenda amecheza step vibaya taarifa zikavujaa
Pale Sinza Africa sana ile barabara inenda kutokea kijitonyama si ilifungwa kisa kuna ghorofa la huyo lilikuwa linajengwa?

Niliambiwa mwenyewe ataamia pale Sinza kuishi hapo sasa sijui kama kahamia.
 
Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi anna Makinda amenunua nyumba hapa mbezi makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Magufuli mwenyewe hatujui 1.5 trillion alizipeleka wapi mpaka leo na hukusema kitu. Ila imeona hizo mil 900 ni kubwa sana
 
Hao wajukuu amewatoa wapi huku Makinda hana mtoto wa kuzaa,labda wajukuu wa ndugu zake.
Unamjua vizuri? una hakika na hili unalomsemea?? Mama Makinda ana mtoto (Binti wa Kumzaa mmoja ) na pia anakaa na watoto wa dada na wadogo zake.Binti ake Jina lake linaanzia na J Spika mimi namfahamu toka Tunakaa nae maeneo ya Seaview Upanga akiwa Waziri wa Wizara ya Wanawake na Watoto.Those Days watoto waliokuwa kwake We where friends and mara nyingi tulikuwa tunashinda kwake during the weekends watching Movies and Recorded CNN news Bulletins from VHS Tapes borrowed at EMPIRE MOVIE THEATER VIDEO LIBRARY Karibu na Mavuno House Posta mpya
 
Kuhusu hilo la milioni 900 sina ushahidi nalo.....

Ila.....

Mh.mama Anna Makinda ameanza kuwa mtumishi wa umma toka miaka ya nyuma na MSICHOKIJUA ni kuwa mh.Makinda ni MBANA MATUMIZI KWELIKWELI.....na mwekezaji wa KILIMO ,na vibiashara vingi vidogovidogo toka miaka ya 90......kwa hulka na tabia zake hizo sishangai akiweza kununua NYUMBA YA GHARAMA KUBWA KIDOGO..........

My take:

Tupende kuutafuta ukweli kabla ya KUWACHAFUA WAZEE WETU....WAMELITUMIKIA TAIFA HILI KWA UZALENDO MKUBWA....WAACHWE WAPUMZIKE...

#SiempreJMT
#NchiKwanza
Hivi unaposema "uzalendo mkubwa" unakiwa una maaana gani mkubwa???? naomba kuelimishwa kidogo!!
 
Hivi unaposema "uzalendo mkubwa" unakiwa una maaana gani mkubwa???? naomba kuelimishwa kidogo!!
Uzalendo haujalishi kuwa kiongozi ama laa....

Ila......

Kuwa katika utumishi mkubwa wa kutumikia maslahi ya watanzania kwa muda mrefu....ukiutoa muda wako ,akili ,na nguvu huku ukiwa muadilifu si jambo dogo tofauti nami uzalendo wangu hauna kipimo kikubwa zaidi ya KULITII TAIFA LANGU ,KULIPA KODI NA KUUZA KAHAWA HAPA KIJIWENI KWANGU MAJOHE!
 
Back
Top Bottom