Anna Makinda: Natambua Zitto Kabwe bado ni mbunge

Tumechoka na stori za Zitto tuendelee na mambo mengine. Kesi yake imeisha kashajimaliza automatically, kilichobaki hatua za kumwondoa rasmi zikamilishwe tusonge na mambo ya maana.
 
Wachaga mbona mnahangaika sana na huyu MKIGOMA??

KWANI HAMNA VITU VINGINE VYA MAANA KILA SIKU ZITO ZITO TUH??
 
zikamilishweje? ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa, na tume ya uchaguzi hawana katiba ya CHADEMA?
 
Nilichokiona mm nikumkomaza kisiasa na kumpa changamoto tu kma kweli chadema wako siriazi wangesha fanya taratibu zote sema nao awajiamin cz wanajua umuhimu wke asa kwa wakati huu wa tuhuma za escrow
 
Hata kama! Kuna process za kufuatwa ili aondolewe rasmi ubunge!

Sidhani kama ni lengo la CHADEMA zitto aondolowe ubunge, tujiweke mbali na upotoshaji wa ki CCM. Swala la Ubunge wa Zitto ni swala la utekelezwaji wa sheria ambalo liko nje ya uwezo na utashi wa CHADEMA.

Zitto ameondolewa CHADEMA kwa lengo la kung'oa mzizi wa siasa za hovyo,za kusalitiana lakini wote tunatambua kwenye siasa za kuongea ongea amebakiwa na uwezo kiasi wa kuongea mambo ya maana, japo kwa niaba ya jimbo lake na Taifa.

Swala la yeye kuendele kuwa mbunge hakuna ambaye hajui ataendelea sababu ya uzembe wa serikali ya ccm katika usimamizi wa sheria zetu, kitu ambacho ni moja ya sababu ya kuamua kuyapiga chini haya magamba.
 
TUNDU LISU alishamaliza kazi,sasa ZZK ajipime anawakilisha chama gani hapo alipo.Yeye awakilishe tu barua ya kuresign au asubiri kula mafao kwa huruma ya CDM.CDM haina cha kupoteza kwa ZZK kubaki bungeni kwa kuwa wanajua ni mbunge kivuli wa ACT.
 
Back
Top Bottom