Anna Makinda: Natambua Zitto Kabwe bado ni mbunge

Ikipelekwa barua atajiona mshindi. Mwache aendelee kuishi kwa hofu ndani ya Ubunge kwa hisani ya Chadema hadi ajione mpu-mbavu. Unacheza na ma-intelectuals waliojazana hapo Ufipa wewe! Ndio anauwawa kisaikolojia hivyo; itafika mahali akiona rangi kama za Chadema atakuwa anapiga mayowe na kukimbia kama mwendawazimu. Adhabu kali kabisa kuliko kuandikiwa hicho kibarua ambacho magamba wanaweza kupiga nacho danadana kumlinda mtu wao. Mwacheni hivyo hivyo!

Mkuu imekaa poa sana hii!!
 
Nimecheka sana mkuu..ha ha haa..adhabu kali sana hizi
 
LISU KAJIUNGA JUZI JUZI CDM,PENGINE ANGEKOSA UBUNGE ANGERUDI NCCR.leo anajiona yeye mwenyewe.
 
Chadema ina taratibu zake; haipangiwi majukumu na magamba.

Pili, kwa ufupi ni kwamba ikipelekwa barua atajiona mshindi. Mwache aendelee kuishi kwa hofu ndani ya Ubunge kwa hisani ya Chadema hadi ajione mpu-mbavu. Unacheza na ma-intelectuals waliojazana hapo Ufipa wewe!

Ndio anauwawa kisaikolojia hivyo; itafika mahali akiona rangi kama za Chadema atakuwa anapiga mayowe na kukimbia kama mwendawazimu. Adhabu kali kabisa kuliko kuandikiwa hicho kibarua ambacho magamba wanaweza kupiga nacho danadana kumlinda mtu wao. Mwacheni hivyo hivyo!

Umeandika kwa msisimko wa kishabiki bila kushirikisha nywere.
 
Zito anajizalilisha. Yeye si hujivunia achukui posho. Sasa kwamawazo yake kama chama chake amkimtaki je yeye anauhalali gani wa kubakia buneni kama si kuendelea kula posho. huu ni mtego wakuaribia sifa yake kwa kuonekana posho au masilai binafsi
 
Posho gani tena na alishaikataa kitambo...............!
 
Kwani CDM walikuwa na ugomvi na ubunge wa Zitto? Anawakilisha jimbo la Kigoma kasikazini kupitia CDM na CDM wao walishamalizana naye wao sio mwanachama wao inaishia hapo kwani wakati anajiunga na CDM waliandika barua kwa spika au NEC? Suala la ubunge ni la Zitto na katiba ya nchi. Kama Zito ni mbunge halali kwa mjibu wa katiba ya nchi kwa maana ya kwamba mpaka hapo alipo hana chama na ni mbunge wa Kigoma kaskazini kupitia chama gani ni yeye mwenyewe kujipeleleza na akajihoji if real he deserve na aendelee kwenda bungeni na sio hizi hadithi za kina Makinda tulishazizoea maana yawezekana Makinda kapewa maagizo toka "JUU" ambako sijui ni wapi wanapokeaga maagizo kutoka.....CDM iendelee na mambo yake na waachane na Zito coz sio mwanachama wao period!
 
Back
Top Bottom