mbona NEC nao wanasema wanangoja kwa Spika??
dana dana hizi!!!
hivi nyinyi mmekwenda shule kweli au utoto unawasumbua
mbona NEC nao wanasema wanangoja kwa Spika??
dana dana hizi!!!
Ikipelekwa barua atajiona mshindi. Mwache aendelee kuishi kwa hofu ndani ya Ubunge kwa hisani ya Chadema hadi ajione mpu-mbavu. Unacheza na ma-intelectuals waliojazana hapo Ufipa wewe! Ndio anauwawa kisaikolojia hivyo; itafika mahali akiona rangi kama za Chadema atakuwa anapiga mayowe na kukimbia kama mwendawazimu. Adhabu kali kabisa kuliko kuandikiwa hicho kibarua ambacho magamba wanaweza kupiga nacho danadana kumlinda mtu wao. Mwacheni hivyo hivyo!
Hayo ndo matokeo ya chama kuendeshwa na wahuni.
Lisu kakurupuka tu, sijuu shera hizo kasomea wapi!
Ikipelekwa barua atajiona mshindi. Mwache aendelee kuishi kwa hofu ndani ya Ubunge kwa hisani ya Chadema hadi ajione mpu-mbavu. Unacheza na ma-intelectuals waliojazana hapo Ufipa wewe! Ndio anauwawa kisaikolojia hivyo; itafika mahali akiona rangi kama za Chadema atakuwa anapiga mayowe na kukimbia kama mwendawazimu. Adhabu kali kabisa kuliko kuandikiwa hicho kibarua ambacho magamba wanaweza kupiga nacho danadana kumlinda mtu wao. Mwacheni hivyo hivyo!
Waliopigana jukwaani leo huko Arusha.Chama gani? kinanani wahuni?
Chonde chonde Chadema, mpuuzieni huyu wala msiandike barua ya kutimuliwa kwake tuone inakuwaje. Ila ndani ya Chama tupa kule msaliti, naunga mkono 100%.
Chadema ina taratibu zake; haipangiwi majukumu na magamba.
Pili, kwa ufupi ni kwamba ikipelekwa barua atajiona mshindi. Mwache aendelee kuishi kwa hofu ndani ya Ubunge kwa hisani ya Chadema hadi ajione mpu-mbavu. Unacheza na ma-intelectuals waliojazana hapo Ufipa wewe!
Ndio anauwawa kisaikolojia hivyo; itafika mahali akiona rangi kama za Chadema atakuwa anapiga mayowe na kukimbia kama mwendawazimu. Adhabu kali kabisa kuliko kuandikiwa hicho kibarua ambacho magamba wanaweza kupiga nacho danadana kumlinda mtu wao. Mwacheni hivyo hivyo!
ndio kasha fukuzwa tena chadema anaisikia kwa radio ubunge wa makinda abaki nao adhabu tosha kisaikolojiaLissu alijua akishaita waandishi wa habari ndiyo amemaliza kazi ya kumfukuza kazi.
Posho gani tena na alishaikataa kitambo...............!Zito anajizalilisha. Yeye si hujivunia achukui posho. Sasa kwamawazo yake kama chama chake amkimtaki je yeye anauhalali gani wa kubakia buneni kama si kuendelea kula posho. huu ni mtego wakuaribia sifa yake kwa kuonekana posho au masilai binafsi
Posho gani tena na alishaikataa kitambo...............!