Hii ndo Tanzania yetu, anachofanya spika ni kuchelewesha zoezi tu lakini kama watu wamesha dhamiria lazima jambo litafanyika tu
Kwa aliyemsikia mh. Zitto kabwe leo saa moja usiku, alisema kuwa spika ameingilia jambo ambalo bado halijafikishwa kwake, kwa hiyo madai ya spika yana malengo ambayo hayana msingi, ila ripoti haiwezi kufikishwa kwa spika bila ya kuwa na asilimia 20 ya kura za wabunge wote, kwahiyo Jumatatu ataiwasilisha rasmi kwa spika na mchakato utaendelea kama kawaida.Kwa hili Anna makinda amelivaa bommu na watanzania sijui tumpe adhabu gani?
Wnasheria rudini hapa mtupe mwongozo juu ya hili fraha yetu imepotea ya kumuondoa nduri fisadi,wanyanyasaji na wezi