Anna Makinda Katukanyaga Utosini watanzania

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Kwa hili Anna makinda amelivaa bommu na watanzania sijui tumpe adhabu gani?
Wnasheria rudini hapa mtupe mwongozo juu ya hili fraha yetu imepotea ya kumuondoa nduri fisadi,wanyanyasaji na wezi
 
Comrade "mwerevu yamtosha ishara" kama sahihi 71 zilitimia basi hapana shaka saa ya ukombozi imefikwa kwani kaizuia kwa muda tu hawezi kuufunika moshi hata siku moja
 
Hoja ya Mh. Zitto haijapigwa chini per se coz mpaka bunge lijalo kigezo cha siku 14 kitakuwa kimetimia, swala liliopigwa chini ni kuwasilisha hoja iyo jumatatu kwani zitakuwa zimetimia siku 4 tu, hivyo basi nafasi ya hoja hii bado ipo hai.
 
Hii ndo Tanzania yetu, anachofanya spika ni kuchelewesha zoezi tu lakini kama watu wamesha dhamiria lazima jambo litafanyika tu
 
Hujasikia alivyo kuwa anaji mungunya mungunya eti bunge linalo kuja kama hii issue kama nimemsikia vizuri ianze upya ili kikidhi matakwa ya kifungu cha katiba 53 (a-c) siku kumi na nne tangu iwasilishwe bungeni kwa spika wa bunge kwa maandishi na sign zisizo chini ya asilmia 20
 
nyumbu huahirisha kuzaa mpaka wiki tatu....time will cum,wameahirisha maumivu
 
anna makinda kaingia choo cha kiume....cjui atakojoaje wakati vikojoleo viko ju
 
Serikali haiwezi kuchomoka ktk hili suala, njia pekee ya kujiokoa ni JK kuvunja Baraza la Mawaziri na kuteua Waziri Mkuu mwingine au Mawaziri watuhumiwa wajiuzulu.
Serikali imeaibika sana, inaoneka JK na Pinda wanaongoza Mabaraza mawili ya Mawaziri. Huyu Waziri wa Afya, Ponda ana wakati mgumu, walianza Madaktari kumkataa JK akagoma, sasa Wabunge wake mwenyewe hawamtaki
. JK ktk hili hachomoki, lazima Ponda apigwe chini.
 
For sure huyu mama nashindwa kumwelewa maana hili swala anataka kulivaa kuitetea serikali akizani kuwa watanzania wasahaulifu watasau mapema na ifikapo bunge jipya watakuwa kimya, she is wrong watanzania wa sasa ni waelevu na waliochoka na mbinu za mwaka 86, amepitwa na wakati na ndo maana ana act kizee zaidi.
Tutakuwa macho na tutakuwa hapa iwe leo au kesho but the time is now change is at door and the door is open now we are going in like fire in a dry bush!
 
Kwa hili Anna makinda amelivaa bommu na watanzania sijui tumpe adhabu gani?
Wnasheria rudini hapa mtupe mwongozo juu ya hili fraha yetu imepotea ya kumuondoa nduri fisadi,wanyanyasaji na wezi
Kwa aliyemsikia mh. Zitto kabwe leo saa moja usiku, alisema kuwa spika ameingilia jambo ambalo bado halijafikishwa kwake, kwa hiyo madai ya spika yana malengo ambayo hayana msingi, ila ripoti haiwezi kufikishwa kwa spika bila ya kuwa na asilimia 20 ya kura za wabunge wote, kwahiyo Jumatatu ataiwasilisha rasmi kwa spika na mchakato utaendelea kama kawaida.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom