Ankara za Makampuni ya umma zinalipwa kwa fedha ya kigeni?

Mwanahisa

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,382
510
Salaam jukwani hapa Uchumi na Biashara!

Inawezekana kulipia ankara za Makampuni ya nishati na Maji kwa fedha za kigeni? Kampuni hizi ni za umma wa Tanzania.
 
Tanzania kwa sasa hatuna tena sarafu yetu.

BOT dhaifu ndiyo kiini cha kuporomoka kwa sarafu yetu, na kuifanya sarafu ya Marekani kutumika ndani ya soko la ndani.
 
BOT act 2006 - Ipo bubu, sijaona mahali inapoeleza ni sarafu gani inatakiwa kutumika hapa nchini. Nadhani ni wakati muafaka kwa wabunge wetu kulifanyia kazi.


http://www.bot-tz.org/AboutBOT/BOTAct2006.pdf

Nashukuru mdau kwa link hii, ila tayari niko kwenye maumivu makali. Muwekezaji wa nnje anatulipisha wazawa bill za Tanesco na Dawasco kwa dollar utafikiri tuko Washngton DC bwana!
A%20S%20cry.gif
 
Back
Top Bottom