Animal science au wildlife!?!

Sir.Chemi

Member
Mar 18, 2012
51
1
Eti jamani kati ya 'wildlife and management' na 'animal science' ni kozi ipi inayolipa(yenye ajira) hapa Tz.
 
sio lazima uajiriwe mkuu ...fikiria na kujiajiri!!! Au unapenda mishahara ya laki 3 na nusu kwa mwez!!? Tuulize wenzio tuliomaliza chuo tutakwambia!!
 
sio lazima uajiriwe mkuu ...fikiria na kujiajiri!!! Au unapenda mishahara ya laki 3 na nusu kwa mwez!!? Tuulize wenzio tuliomaliza chuo tutakwambia!!
ndio mkuu lakini utawezaje kujiajiri bila mtaji! Nannadhani mtaji unapatikana through kuajiriwa au?
 
Piga animal science... Utaajiriwa na pia utajiajiri mwenyewe. Me napiga animal science i love it
 
Back
Top Bottom