Anielewi binti huyu

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Nampenda sana,ananichukulia mimi kaka yake jamani.Mnafanyaje wenzangu kutoa hali ya ukaka na udada?
 
Sio kila kupenda basi kun end up in bed. Sometimes its just for company. Recirocate her freindship and if it is love that was destined, you will get a sack full. Take your time and groom her more.
 
Aaaa dogo huyo ana mtu mwingine ukisha ona anakazania wewe ni kaka, ujuwe kuna mwingine kisha kuwahi...endelea tu kuwa kaka yake.
 
unampenda lakini hujamweleza kama wampenda na ni ngumu kuelewa kwa vile ukaribu ulianza kama wa dada na kaka ... vunja ukimya huo kwa kumweleza
 
Relationships progress step by step. Step 1 is freindship. If you succeed then step 2 is being available when you are needed step 3 is her doing nothing before your approval then the rest is easy. Every relationship takes its own turn of events. If you try to speed it, you end up losing. Try watching a predator hunting. It is the same in life except in this case you get peace of mind and happiness ever after.

PATIANCE WILL REWARD YOU POSITIVELY
 
si vibaya ukaendelea kushika pembe hivyo hivyo kupitia uhusiano wa kaka na dada - itakujengea heshima kubwa kwa mashemeji zako
 
..kongosho ashakueleza na usiposikia nakwambia UTAYATUMIKIA MAPENZI MAISHA YAKO YOTE..elewa hisia zake tafadhari na nadhani hana feelings zozote nawe,angalizo hata ukijapewa k yake,ujue kafanya kwa huruma tu au ni matokeo ya mwili wake kureack akati we uko karibu..bt maisha yako nje huku achana na huyo bt usiache kumsaidia masomo eeh!!..manake nalipa ada umesikia?..
 
Nampenda sana,ananichukulia mimi kaka yake jamani.Mnafanyaje wenzangu kutoa hali ya ukaka na udada?
jamani mueleze ulichonacho moyoni jibu lake ndo linaweza kuondoa huo ukaka na udada hapo vip u can make it:juggle:
 
..kongosho ashakueleza na usiposikia nakwambia UTAYATUMIKIA MAPENZI MAISHA YAKO YOTE..elewa hisia zake tafadhari na nadhani hana feelings zozote nawe,angalizo hata ukijapewa k yake,ujue kafanya kwa huruma tu au ni matokeo ya mwili wake kureack akati we uko karibu..bt maisha yako nje huku achana na huyo bt usiache kumsaidia masomo eeh!!..manake nalipa ada umesikia?..

kama ulijifanya kaka kwake, tulia. kwani hajui kuwa wewe sio kaka yake. labda tuweke sawa, kama mna undugu wa damu tujue. naamini kama sio nduguyo kabisa mwambie hisia zako. atasema tu. kumweleza unavyompenda sio kosa, kosa ni kumdanganya.
 
Pole. hebu mwambie apite hapa JF tumkague na kumchunguza halafu tutakupa matokeo.Itakuwa pia njia nzuri ya ku-recruite member wapya
 
ushamwambia ukweli ndo akakujibu hivo?...if thats the case take ur time n walk away utapata anaekupenda
 
Back
Top Bottom