Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

Status
Not open for further replies.
My Plan B is here:
Mkakati wa Wapambanaji Ndani ya Bunge Lijalo;
* New Electoral Commission (Tume Mpya na Huru ya Uchaguzi)
* Mabadiliko ya Katiba, kuondoa Viongozi CCM kuwa wakala wa Tume Mikoani (Wakurugenzi na Watendaji)
* Kubadili Katiba ili Rais aweze kuwajibishwa kwa kosa lolote la kwake au mtendaji wake.
* Kupunguza Mamlaka ya Rais kuteua mtu yeyote, lazima athibitishwe na Bunge.

Hii yote ilkifanikiwa kwa 75% mwaka 2015 - Kutakuwa hakuna kulala, kazi inaanza baada ya uchaguzi huu!
 
Labda amchague Pombe Magufuli waziri mkuu, na amwache aiendeshe serekali kivyake yeye akila kuku USA kama kawaida. Hapo anakuwa kwa kiasi fulani amemwachia kukaimu urasi huyu Pombe wakati aki-strategize uraisi kamili 2015.

Kwa hakika mawazo ya wengi wanaoitakia mema ccm wanashauri kama wewe, labda Magufuli, labda Mwakyembe, labda ni nyingi tu. Lakini swali la kujiuliza ni Je, wana uwezo huo wa kuchagua watu makini? Utamu wa madaraka ni mbaya sana. Wao wanajipanga hivi sasa kumweka Lowasa spika or back to prime minister. Wanataka kumsafishia njia ya kwenda ikulu. Baada ya hoja ya Richmond kuzimwa bungeni, Dk wa ukweli alisema, imezimwa bungeni sio kwa wananchi. Na hili limejidhihirisha wazi. Wananchi wana hasira na Mafisadi.
Na hata kama wakijenga barabara, sijui kama itasaidia, hoja ni wazi, Mbona Rombo Mramba alipeleka barabara? Mramba alibadilisha mpaka budget ya barabara ya Tbr akapeleka kwao, lakini wananchi hawaoni barabara, wanataka uadilifu, wanataka fisadi aondoke. Wanataka madini yao, wanataka magogo na nyara zingine zinazotoroshwa nje kila siku. Wananchi wanataka kufaidika na raslimali za nchi yao. Wananchi wanataka kuona maisha bora ya ukweli siyo ya takwimu katika makaratasi.
Mimi hofu yangu iko palepale, Je, wataweza kuwakamata mafisadi? Wataweza kubadilisha mikataba ya madini? Jamani kumbukeni, mwalimu alisema, mtu akila nyama ya mtu hawezi kuacha. Ndo maana mie naamini, CCM will never recover from this, never. Ni lazima kitoke kwanza madarakani, kama Dr. Lwaitama alivyosema, kipumzike, then kitarudi fresh, wakati huo mafisadi tumewashughulikia wooooooooooooooote. Nchi imekuwa nzuri na ya kulingia.
Naomba kuwakilisha
 
Aanguko la ccm ndio limeanza hivyo taratibu na 2015 tunaweka zege ya kokoto kabisa
 
my plan b is here:
Mkakati wa wapambanaji ndani ya bunge lijalo;
* new electoral commission (tume mpya na huru ya uchaguzi)
* mabadiliko ya katiba, kuondoa viongozi ccm kuwa wakala wa tume mikoani (wakurugenzi na watendaji)
* kubadili katiba ili rais aweze kuwajibishwa kwa kosa lolote la kwake au mtendaji wake.
* kupunguza mamlaka ya rais kuteua mtu yeyote, lazima athibitishwe na bunge.

Hii yote ilkifanikiwa kwa 75% mwaka 2015 - kutakuwa hakuna kulala, kazi inaanza baada ya uchaguzi huu!

safi ndivyo inatakiwa hivyo
 
You are very rt my Broda.
CCM has out lived its usefulness.
Infact even the old folks are tired of it themselves...thats why you never saw them bother assist in campaining for JK
Waliachia Baba, Mama na Mwana....wanajua kwanini
The Big man must have kasirishad them Big time.
N-ways....
we learn from mistakes na ameona who is with him and who is not.
infact tukichunguza kwa umakini you will find that most of his close pals like kina Masha wameflop
JK would have done wonders if he had the rtpeople with him
He has alot of crooks as his advisors.
He should reconseider his team in this term (kama atapewa nafasi na wenye nchi ....peoplesssss power)
 
There u are Msaki..
that is what people need, we can't continue to accept every president appointee,
we can witness how he appointed those ladies who offered him () almost all of them are district commisioners; (fuckenup)
we these guys must work on contitution reform seriously.
we want Tanzania to be a paradise of a black man.
for how long gonna we keep on having brain washed leaders(esp. presider)?
we need really change. we must uproot all CCM bigoter
The we make Tanzania a Paradise of a black man.
 
Tank you very moch.
With all the resources that Tanzania has tunatakiwa tuwe na elimu ya Bure from KG to UNI
We need to have power in all the villages and RELIABLE power in TOWNS (umeme)
Kila mtu should be able to access clean water by all standards
all major roars and streets in town MUST have tarmac on them.
INAWEZEKANA
only if we have viongozi watakaofungwa speed govener ya njaa ya mali ya umma
Look at the Minerals(Gold, Tanzanite, national parks, Diamond, and now URANIUM)
What else do we want God to offer Tanzania JAMANI
ITS POOR GOVERNANCE INAUA COMMON MAN
who will save us from this?
 
proper medical schemes for the common man
nice infrustructure in town kupunguza traffic jam
INAWEZEKANA
aRUSHA IS A CITY NOW AMD IMAGINE WHAT????.....haina hata double road moja
Very shameful
How do they expand it?
with the influx of cars on the road on a daily basis...its just a matter of time before it takes someone 4hrs to get from Impla to the post office
 
CHAMA CHA ZAMANI kinaelekea ukingoni na anguko lake halitazuilika kwasababu Umma umekataa NA utazidi kukataa :-
1.UBINAFSI WA ULIOPITILIZA
2.KUJILIMBIKIZIA MALI KWA MGONGO WA UMMA
3.MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
4.USULTAN ( From Father / Mother to son / Daughter or FROM Husband to Wife AND VICEVERSA)
5.MATUMIZI MABAYA YA MALI ZA UMMA PASIPO CHEMBE YA HURUMA KWA WENGINE ( kuishi kama peponi huku Umma ukisaga Meno)
6. KIKUNDI KIDOGO KUHODHI RASILIMALI za taifa na Kuindesha SIRIKALI
7. KUONGEZEKA MARADUFU KWA PENGO KATI YA WALIONACHO NA WASIONACHO
8. KULINDANA
9. Sheria Kubagua wananchi ( walioiba Hela za EPA walirudisha lakini Wezi wa Kuku, vibaka wanaozea magerezani)
Nakadhalika
ILI KUFANIKIWA KUONDOA HAYO NA MENGINE CHAMA CHA ZAMANI KINASTAHILI KUPUMZISHWA 2015 KUFANIKISHA HILO YATUPASA TUHAMASISHANE KUJIANDIKISHA KWA WALE WALIOSHINDWA KUPIGA KURA UCHAGUZI WA MWAKA HUU NA WAPYA WAKATI WA UWANDIKISHAJI / UBORESHAJI ILI TULIKOMBOE TAIFA LETU KABLA HALIJANGAMIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

CHANGES ARE INEVITABLE AND THE OLD PARTY SHALL PERISH SOON!
MABADILIKOOOOOOOOO OYEEEEEEEEEEEEEEEEE..................................
 
Lini tena? Maana Oktoba 31, 2010 ishapita na mabadiliko yamerudi yalipoachwa na Lyatonga Mrema 1995!
 
that is a point.
None desserves to live like in paradise while starving. no assurance of clean and safe water. education system being categorized. group A for their families and group B for Kajamba nani( their kids abroad) and Kajamba nani have access to school buildings.
we want to have the same standard of living.
First we need mind revolution for those who still supporting CHAMA CHA MAJIZI. educate your brodas, sister, uncles aunts, kids cousins and whoever close to you. Together we can change Tanzania to be a PARADISE for all. not only for Kiwete, Lowasa and all majizis.
 
Nasema hatuta nyamaza kusema. mkwere na hao jamaa zako acheni kulazimisha ushindi. na hata mkitunyamazisha kwa nguvu, basi hata mawe na milima yote itadai haki ya wananchi watanzania.
hatukuhitaji tena.

Hili ndo anguko lililonenwa. acha litimie
na ndio mwanza wa ukombozi wa watanzani
Nawakilisha

CCM is beyond repair hata akimweka nani U-PM hataweza kupambana na ufisadi au kufanya mabadilko ya kikatiba ambayo ndiyo uchu wa watanzania walio wengi..............
 
CCM is beyond repair hata akimweka nani U-PM hataweza kupambana na ufisadi au kufanya mabadilko ya kikatiba ambayo ndiyo uchu wa watanzania walio wengi..............

Ugonjwa sugu wa CCM ni....Mafisadi wote, especially Makamba, Ridhiwani & JK, dhuluma, Rostam, Lowassa, Chenge, siku watakaposafisha uchafu huo CCM itakuwa safi
 
Namwomba Mungu atupatie maisha marefu angalau 2015 tuwe hai.(QUOTE)

Sasa umehamia mwaka 2015. Nilidhani kuwa mlisema kuwa SLAA ataapishwa mwaka huu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom