Angalizo...tunapochagua...

Muhimu sana aisee

sasa hiyo namna ya kugundua kuwa huu mshobobo ndo unaokufaa,
sijui utatumia njia gani kwasababu huwezi ukaziona barabarani tu!!!!!!!
hebu nieleze DA, mpaka uje upate ule unaokufaa, utafanyaje?
 
sasa hiyo namna ya kugundua kuwa huu mshobobo ndo unaokufaa,
sijui utatumia njia gani kwasababu huwezi ukaziona barabarani tu!!!!!!!
hebu nieleze DA, mpaka uje upate ule unaokufaa, utafanyaje?

Kwasasa kazi hiyo mie nishaimaliza sawa??

Na bahati yangu kuwa ni gudliking na huko chini ya kitovu yoko poa
 
Angalizo kwetu wadada, unaweza kukaa na kusubiri good looking mwisho wa siku ukajikuta unazeeka na humpati good looking, mwisho utaanza ooo nina mkosi kumbe mkosi uliuleta mwenyewe,na good looking nyingi ni vimeo.
 
vile umeambiwa ww ni gudlukin hakuna haja ya kuombwa radhi maana umesifiwa
hehehe namsubiria WOS adondoshe madongo, naona tayari ameweka intavyuu fupi kwa mleta mada. yaani anasema sisi sura mbovu tunaharibu reception ya watoto na tunasababisha bullying shuleni?. dah! mungu atatulipia bana!
 
Hope Genetics was that Kind...., Unene sio genetically..., pia mimi naweza nikawa na pua nzuri ndefu lakini ikichanganyikana na yako bapa ikapatikana kitu tofauti.., Genetics pia zinaweza zikajump generations..., ndio maana unaona mtu anafanana na babu zake..., pia unaweza Also Big ears might look good on someone.., mfano imagine Obama na small ears.

All in all nikipata Msichana mrembo tashukuru sana ila kwanza taangalia tabia za huyo mama na malezi yake kwa wanangu nisije nikapata vi-handsome boys na vi-beautifull girls vyenye tabia za ajabu au nilivyovilea peke yangu sababu ya kudivorce na mama yao..

mie sio mtaalam wala msomi,naombeni mtupe darasa kwa manufaa ya wote wenzangu kama mie,epecially hapo uliposema genetics zinaweza zikajump generations,nifafanulie plz......
kwa uelewa wangu wa kungalia yanayojiri ulimwenguni,wataalamu wengi wameanza kulink obesity na genetics ingawa haijawa proved but its my understanding studies bado zinaendelea...
 
hehehe namsubiria WOS adondoshe madongo, naona tayari ameweka intavyuu fupi kwa mleta mada. yaani anasema sisi sura mbovu tunaharibu reception ya watoto na tunasababisha bullying shuleni?. dah! mungu atatulipia bana!
Mkuu mimi nina uhakika wa kutoa kitu ambacho hakihitaji kuthibitishwa na TBS au kuwekewa ISO
 
hehehe namsubiria WOS adondoshe madongo, naona tayari ameweka intavyuu fupi kwa mleta mada. yaani anasema sisi sura mbovu tunaharibu reception ya watoto na tunasababisha bullying shuleni?. dah! mungu atatulipia bana!

umeona eeeeh?
 
Back
Top Bottom