- Thread starter
- #61
Sasa tukisema hivi haina maana uwe unatunyima wenzakokumbe ndo sbb sijaolewa
Sasa tukisema hivi haina maana uwe unatunyima wenzakokumbe ndo sbb sijaolewa
Waoo!.too bad sina icons but a hug for you!umenena!Hiyo ni kweli kabisa kuna wanawake wazuri sana ila kwa sababu za aina hii wanaume wanakuwa hawajiamini, kumbe mke wala hana hilo ila unakuja kumpa kesi zisizo lazima. Ukiwa na mtu kama huyo lazima uwe makini sana na hisia zitakuponza. Unakuja kujua baadaye wakati ushampiga kibuti.
Naomba kuuliza swali wanawake wanaochangia humu je kuna baadhi wenye sifa alizozitaja vegule?
Naomba kuuliza swali wanawake wanaochangia humu je kuna baadhi wenye sifa alizozitaja vegule?