Angalieni vipi Mwanamke anapo taka kumtaifisha mme au boy friend wa shosti yake.

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,030
Utani pembeni kuna baadhi ya wanawake wanapenda sana kuwachukua wanaume au maboi friend wa rafiki zao wakike.

Yani aksiha jua mwenzake anafaidi basi anakuja na speed kama hii kuchukua mali ya mwenzake.

Anaji introducing herself kwako as a friend to a girl ambaye unampenda, au kama umeoa anasema ni best friend ya mke wako.

Afu atakueleza hivi; Unajua toka ulipo muoa rafiki yangu...Au ulipo tembea na gf wako...Wamekuwa na bahati sana, yani wako on top of the world, and she continues with "You just have to give it to me''

Aisay hawawezekani kama wanataka kitu kwako....Watakipata tu.

Siku njema.
 
Ila kama ni mwanaume mwenye msimamo sidhani kama uta-fall for that...!!
#Hatahivyo wanawake huambiwa siri za chumbani zisipelekwe sebuleni...
 
Kama ameuza mwenyewe file la siri zao cha chumbani basi ameyataka mwenyewe...Maana sidhani kama angesema kwamba huyo mwanaume ni hovyo kabisa na sijui hata nilifuata nini kama shoga zake wangetamani....
 
Haya bwana
Kunguru hafugiki na mtu hachungwi
Nguvu zake na mali zake atumie atakavyo
Asilete tu magonjwa
Na asinipitishie usoni
 
Mara nyingi mhusika mwenyewe ndio hukosea toka mwanzo.... Kila siku aenda report mambo kuhusu mpenzi wake kwa rafiki yake... What the guy likes... hates... enjoys na the like. Unakuta mwanaume mwenyewe ni wa ukweli, yeye mwenzio wanaume wamsumbua kula kukisha.... Anaanza kupima "friendship OR Love" .... Nani alikuambia urafiki overruns mapenzi? (labda yawe ya uongo); Enways at the end of the day aenda pale kwa miguu miwili.... huyo mpenzi ajua kua kapata manamke hasa for she understands him.... Kumbe kisha pewa lecture kuhusu yeye na ex.... In the end inakua Survival of the Fittest!
 
Binadamu wenye akili timam wanaendelea kupungua sana duniani,mtu unamtu wako halafu anakuja mtu anajidai sijui nini halafu unamkubalia,hivi unakua sawasawa kweli wewe?
 
Utani pembeni kuna baadhi ya wanawake wanapenda sana kuwachukua wanaume au maboi friend wa rafiki zao wakike.

Yani aksiha jua mwenzake anafaidi basi anakuja na speed kama hii kuchukua mali ya mwenzake.

Anaji introducing herself kwako as a friend to a girl ambaye unampenda, au kama umeoa anasema ni best friend ya mke wako.

Afu atakueleza hivi; Unajua toka ulipo muoa rafiki yangu...Au ulipo tembea na gf wako...Wamekuwa na bahati sana, yani wako on top of the world, and she continues with "You just have to give it to me''

Aisay hawawezekani kama wanataka kitu kwako....Watakipata tu.

Siku njema.

Teh teh teh teh tayari umeshataifishwa duh......
 
na akijileta ni lazima umle?:lol:

Kuna wanawake wanajua kucheza karata zao....anafanya uchunguzi vizuuri kupitia huyo huyo shost yake,then anajua nini yule mwanaume anapenda kufanyiwa then bibie anaanza mashambulizi yake..kama shosti wake alikuwa akifanya kwa asilimia 60 then yeye atamfanyia mara mbili yake...#Lazima jamaa akae!! Unless ana msimamo sana..
 
Hapo ndo na mimi nilikuwa nataka kuwajulisha wanawake/wanaume wawe careful....Wanawake wasiwamini sana marafiki zao, na wanaume wasikimbilie kula halua....Yani kuna halua zingine ukiweka mkona ndani basi kila wakati unarudia kupiga round kwa utamu.
 
Na asikwambie mtu..hakuna kitu kitamu kama cha kuiba!..maana kila saa kitakuwa kinakuwasha ukaonje tena na tena..
 
Njia za ku-avoid that problem je??? 2juzane basi.
Njia za ku-avoid mambo kama hayo zipo sana tu.
KWA MWANAMKE: Ni kujifunza kuyaweka moyoni mazuri anayofanyiwa na mumewe/mchumba wake. Sio wote wanaofurahia kustawi kwa mahusiano ya wenzao..watu wana vijiba na husuda tele mioyoni mwao so kukuharibia kwa kumchukua mpenzi wako kinaweza kisimkere wala kushtua mshipa wa t*ko.

KWA MWANAUME: Kama anamheshimu mkewe/mchumba wake,hatothubutu kuruhusu shemeji yake (shosti wa mkewe) awaharibie mapenzi yao..ataepuka vishawishi hivyo ikiwezekana kumwambia mkewe juu ya tabia hiyo chafu ya shoga yake. Akijileta tupa kule..unaweza ukaingiza magonjwa nyumbani kwako hivi hivi!
 
Back
Top Bottom