Angalia Rais wa Tunnis alivoficha Mapesa!

[video=youtube;3wJRssY_ujY]http://www.youtube.com/watch?v=3wJRssY_ujY[/video[/QUOTE

Nakwambia hawa watawala kina JK ni wagonjwa wa akili, hebu fikiria haya mapesa yoote ya kufanyia nini??????????? Tena utakuta kuna raia wake wanakufa na njaa. Wengine ni omba omba barabarani. Si angebuni project ya kusaidia Raia wake????????Wengine nao wangoje kukurupushwa kama huyo aliye watangulia!!!!!!!!!!
Majuto ni mjukuu!!!!!!!



 
Inaonekana hawakupata nafasi ya kukusanya hiyo minoti!

Hilo liwe funzo kwa viongozi wanaopenda kujilimbikizia mali. Kumbe wanaiba hela hata bila kujua hela watazifanyia nini na matokeo yake ni kujaza makabati badala hata ya kuzipeleka benki!

Shame on them....!
 
Ukiona hivyo ujue viongozi wote wa Africa wana makabati nyumbani mwao ya kutunzia manoti kama hayo, unajua wakikutana huko kwenye mikutano yao wanafundishana pia jinsi ya kufanya ufisadi.
 
xpaster nifafanulie icho kiarabu anavoongea
sasa izo ni chache tu kati ya nyingi walizonazo ktk mabenk ya nje

kweli kuna watu wanajiona wao mungu
 
Sisi wengine hatujui kiarabu, tutajuaje kama ni za Bin Ali au pengine hapo ni strong room ya benki fulani mkuu
 
Msimuandame kwa sababu ni Mu-Islaam.

Angelikuwa Mkristo wala msingelisema neno..........

CHADEMA nyie...............
 
Back
Top Bottom