Angalia jamaa anavyo omba kazi kwa wananchi

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
attachment

Wanasiasa wanafiki sana angalia hapa jamaa alivyo wadondokea wapiga kura.
Hao hao wamemchagua leo hii anawakimbia na kujifungia kwenye v8 huku hao walio mpaka kibarua cha kuwatumikia wakitaabika hakuna madawati, barabara mbovu, hakuna madawa kwenye zahanati, hakuna maji salama n.k
 
Attachments

  • Njombe.jpg
    Njombe.jpg
    30.3 KB · Views: 272
Jamaa amejidhalilisha ili apate anacho kitaka sihasa kazi kweli kweli
 
Sasa hao watoto anawaomba ajira gani? Kwanza hata kura zenyewe hawapigi!
 
attachment

Wanasiasa wanafiki sana angalia hapa jamaa alivyo wadondokea wapiga kura.
Hao hao wamemchagua leo hii anawakimbia na kujifungia kwenye v8 huku hao walio mpaka kibarua cha kuwatumikia wakitaabika hakuna madawati, barabara mbovu, hakuna madawa kwenye zahanati, hakuna maji salama n.k

Jamaa akishapata kura tu mtamkoma na nyie lazima mkampigie magoti
 
hiyo ilikuwa ni staili ya 2010 na wanawake walikuwa wanalia kabisa wakiomba mpunga....
 
Hivi Mama Makinda naye hakupiga magoti kweli? Au kumbukumbu zangu zimeenda alijojo.
 
Huyu jammaa alkuwa worldvision nilishangaa kuona picha hii ya deo akipgia watoto magoti..je wv ulikuwa hushibi?au ni mauroho
 
attachment

Wanasiasa wanafiki sana angalia hapa jamaa alivyo wadondokea wapiga kura.
Hao hao wamemchagua leo hii anawakimbia na kujifungia kwenye v8 huku hao walio mpaka kibarua cha kuwatumikia wakitaabika hakuna madawati, barabara mbovu, hakuna madawa kwenye zahanati, hakuna maji salama n.k

kwel laana
 
Back
Top Bottom