Elections 2010 Angalia hii: Kula CCM kura Chadema

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
chakachua.jpg
 
Ukinipa nguo ya kijani umenitukana..kwangu mimi hiyo rangi ndiyo tusi kubwa kuliko yote
 
This election is like no other in our political history............all previous comparison to this one are simply preposterous.....................
 
nakuomba mwanaharakati mwenzetu ( Rutashubanyuma ) utumie kidogo lugha nyepesi inayogusika na wengi
ili ujumbe na ukereketwa wako kuelekea kuisadia CHADEMA ueleweke kiurahisi.
tumia kiswahili,kigogo au hata kikurya n.k watakupata wengi kwani zimebaki siku
chache na wewe naona juhudi zako ktk kuwasilisha mada kwa walengwa iko juu.
 
Back
Top Bottom