Angalia Faidi ya Kujichubua Mpaka Mishipa ya Damu Inaonekana

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Oneni faida ya kuutaka uzuri!
Super-Star-Launch.jpg
 
Halafu huyo jamaa kulia muone alivyomshupalia na mimacho kwa huyo Wema!
 
duuuuh!!!!!! mwili mzima kuanzia kichwani ni KUCHAKACHULIWA!!! dUUUH!
 
kwa kweli inashangaaza mwanamke wa design hii huvutia nini wanaume. check paja lilivyojaa michirizi!!!
hapa kweli naamini beauty is in the eyes of the beholder
 
Kwanza hajawahi kumuona zaidi ya kwenye Movie, halafu hapo kichwani zaidi ya kushangaa ana maswali mengi sana kama " hivi na mimi siku moja naweza kumpata huyu"?

anajua hawezi mpata kwahiyo hapa anchofanya ni kuhifadhi images kibao, kwa kuzitumia kwa ajili ya shughuli ya baadaye....
 
Kwa uchakachuaji huu wa mwili? Nahisi mpaka Ndude ameichakachua!
 
Kwa nini?
Joyceline kwanini akae uchi hivyo je mama yake alikuwa anatetea nini siku ile kwenye TV kuwa amemtengeneza mwanae kma sio kutafuta kuandikwa kwenye magazeti ndio mkao gani huo?hiyo akili imezeeka hiyo nasikia mamayake jana katoka nduki maana alichokiongea ni viseversa
 
kwa kweli inashangaaza mwanamke wa design hii huvutia nini wanaume. check paja lilivyojaa michirizi!!!
hapa kweli naamini beauty is in the eyes of the beholder
Mrembo and its realy beauty is in the eyes of the beholder
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom