Angalia Faidi ya Kujichubua Mpaka Mishipa ya Damu Inaonekana

Oneni faida ya kuutaka uzuri!
Super-Star-Launch.jpg

Kwenye red rekebisha mkuu, si kwamba ukiwa mweupe automatically unakuwa mzuri, inaweza kuwa vise versa pia so usipotoshe watu kuwa weupe ndo uzuri.
 
Ndallo hakukosea kwani huo ni mtizamo wa yule anaefanya jambo ili aonekane kuwa mzuri. Jee unasemaje la dada zetu wote Bongo kuvaa nywele za Bandia za kizungu?
 
Joyceline kwanini akae uchi hivyo je mama yake alikuwa anatetea nini siku ile kwenye TV kuwa amemtengeneza mwanae kma sio kutafuta kuandikwa kwenye magazeti ndio mkao gani huo?hiyo akili imezeeka hiyo nasikia mamayake jana katoka nduki maana alichokiongea ni viseversa

Kwani wewe kwenu umefundishwa uchi ni eneo gani mpaka useme amekaa uchi? Sema kaacha mapaja na wewe ndo ugonjwa wako acha kubatiza majina ya viungo sehemu sizo sababu ya weakness yako
 
hii dhana ya ya kuwa mweupe na mwembamba ndo unavutia sijui tumetoa wapi akina mama, inasikitisha sana
 
kwa kweli inashangaaza mwanamke wa design hii huvutia nini wanaume. check paja lilivyojaa michirizi!!!
hapa kweli naamini beauty is in the eyes of the beholder

People like the brand...Wema brand
 
Halafu mbona naona kama kusini mwa afrika kuna weusi au ndio sugu yenyewe? au alishindwa kupiga deki nn?
 
Ndallo hakukosea kwani huo ni mtizamo wa yule anaefanya jambo ili aonekane kuwa mzuri. Jee unasemaje la dada zetu wote Bongo kuvaa nywele za Bandia za kizungu?

Hilo ni sawa na kujichubua, la mtazamo tuwaachie wao, mimi Ndalo na wewe turudi kwenye mstari, si lazima ujichubue na kufunga nywele za bandia ndiyo unakuwa mzuri.
 
Joyceline kwanini akae uchi hivyo je mama yake alikuwa anatetea nini siku ile kwenye TV kuwa amemtengeneza mwanae kma sio kutafuta kuandikwa kwenye magazeti ndio mkao gani huo?hiyo akili imezeeka hiyo nasikia mamayake jana katoka nduki maana alichokiongea ni viseversa

unajua kina dada wengi (sio wote) wamejijengea akilini kwamba bila kuonesha sehemu ya miili yao hawataonekana wa kishua, kuiga umagharibi.
 
Hilo ni sawa na kujichubua, la mtazamo tuwaachie wao, mimi Ndalo na wewe turudi kwenye mstari, si lazima ujichubue na kufunga nywele za bandia ndiyo unakuwa mzuri.

Unaweza usijichubue na usiweke nywele za bandia na bado ukawa mrembo haswa, tatizo watu hawajikubali kutwa kujitoa kasoro.
 
Hilo ni sawa na kujichubua, la mtazamo tuwaachie wao, mimi Ndalo na wewe turudi kwenye mstari, si lazima ujichubue na kufunga nywele za bandia ndiyo unakuwa mzuri.

Kweli kabisa! Na ndio maana nahisi dada zetu kuvaa mawigi kwa ajili ya kutafuta urembo pia ni kosa kama kujichubuwa!
 
Acheni kuzidisha chumvi, hizo ni varicose veins, haijalishi wewe ni mweusi au mweupe. Mbona mimi ni maji ya kunde ni nazo?
 
Back
Top Bottom