Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

kp05102014.jpg
 
WAPINZAN HAMNA JPYA SISI TUTAENDELE KUZUNGUKA NCHI KUPITIA KATBU WE2 MKUU KINANA ukawa ukawa,ccm no,1
 
CCM ndo tunaajil,2nasomesha kwa hyo ukawa kaen pemben mtuache 2fanye kazi na wananch,2015 tutawaonesha adabu
 
Hongera 6 kwa kukamilsha kaz kwa wakat,JK hongera kwa kuanzsha mchakato huu wa kupata katba mpya,inayo kdh matakwa ya waTZ wote
 
Kamanda nadhani una hasira ya kuua mtu!!
:flame:NINASUBIRI WAKATI TU HATUWEZI WAVUMILIA WATU WAPUUZI WAENDELEYE KUVUTA HEWA NA KUCHAKACHUWA KATIBA NDIYO JAMBO LAO LAMWISHO NA LITAWAPELEKA KUZIMU TIMU YOTE YA MAFISADI SSENGE:flame:
 
CCM ndo tunaajil,2nasomesha kwa hyo ukawa kaen pemben mtuache 2fanye kazi na wananch,2015 tutawaonesha adabu
kweli nchi bado inawazembe wa kufikiri? kumwajiri kinana na nape, huku wakipita na kuhadaa watu ndo ajira? unajua kazi ya dola? unajua wizi wa chenge uliziba ajira ngapi? hujui pesa alipeleka kisiwa cha new jersey, aliwatengenezea ajira kiasi gani? ebu tumia ubongo kufikiri!
 
Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali wakati Andrew Chenge alipewa dola milioni 1 za ESCROW sawa na bilioni 2 kasoro za kitanzania imefahamika.

Chenge ambae alikua mwanasheria mkuu wa serikali wakati mkataba wa IPTL unasainiwa miaka ya 1990 amekiri kupokea kiasi hicho cha pesa kutoka kwa mwanahisa wa IPTL Rugemalila ambae alikua na hisa 30%. Chenge ambae ni mbunge wa Bariadi amekiri kupokea pesa hizo akidai kuwa ni malipo ya kazi ya ushauri aliyoifanya kwa Rugemalila. Hata hivyo hakuna ushahidi wa kuwepo kwa mkataba wowote baina ya mwanahisa huyo na Chenge. Mwanasheria aliyekuwa anaishauri na kuiwakilisha IPTL kwa ujumla akiwemo Rugemalila ni Dr. Ringo Tenga ambae alilipwa pesa zake.
Chenge ambae ni mtu wa karibu sana na waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye mtu anayetajwa kuwa chaguo la nafasi ya waziri mkuu ikiwa Lowassa atakua Rais wa Tanzania. Hii ni kutokana na urafiki na mchango mkubwa wa mali na maarifa anaoutoa Chenge katika kusaidia harakati za Lowassa.

Andrew Chenge ndiye mwalimu wa mwanasheria mkuu wa sasa Jaji Frederick Werema. Wakati Chenge akiwa Mwanasheria mkuu wa Serikali, Jaji Werema alikua afisa wa sheria wa serikali "State Attorney".
Haijajulikana kama malipo hayo ni ya Chenge mwenyewe au ni nani aliye nyuma ya Andrew Chenge. Aidha Haijajulikana kama Chenge hakuwa mchoraji mkuu wa namna gani uporaji huu ufanyike ikizingatia kuwa kashfa nyingi zilizotokea miaka ya karibuni zilitokea yeye akiwa mwanasheria mkuu wa serikali. Hizi ni kama ununuzi wa Rada na Buzwagi.
 
Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Andrew Chenge alipewa dola milioni 1 za ESCROW sawa na bilioni 2 kasoro za kitanzania imefahamika.

Chenge ambae alikua mwanasheria mkuu wa serikali wakati mkataba wa IPTL unasainiwa miaka ya 1990 amekiri kupokea kiasi hicho cha pesa kutoka kwa mwanahisa wa IPTL Rugemalila ambae alikua na hisa 30%. Chenge ambae ni mbunge wa Bariadi amekiri kupokea pesa hizo akidai kuwa ni malipo ya kazi ya ushauri aliyoifanya kwa Rugemalila. Hata hivyo hakuna ushahidi wa kuwepo kwa mkataba wowote baina ya mwanahisa huyo na Chenge. Mwanasheria aliyekuwa anaishauri na kuiwakilisha IPTL kwa ujumla akiwemo mwanahisa Rugemalila ni Dr. Ringo Tenga ambae alilipwa pesa zake.

Chenge ambae ni mtu wa karibu sana na waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye mtu anayetajwa kuwa chaguo la nafasi ya waziri mkuu ikiwa Lowassa atakua Rais wa Tanzania. Hii ni kutokana na urafiki na mchango mkubwa wa mali na maarifa anaoutoa Chenge katika kusaidia harakati za Lowassa.

Andrew Chenge ndiye mwalimu wa mwanasheria mkuu wa sasa Jaji Frederick Werema. Wakati Chenge akiwa Mwanasheria mkuu wa Serikali, Jaji Werema alikua afisa wa sheria wa serikali "State Attorney".
Haijajulikana kama malipo hayo ni ya Chenge mwenyewe au ni nani aliye nyuma ya Andrew Chenge. Aidha Haijajulikana kama Chenge hakuwa mchoraji mkuu wa namna gani uporaji huu ufanyike ikizingatia kuwa kashfa nyingi zilizotokea miaka ya karibuni zilitokea yeye akiwa mwanasheria mkuu wa serikali. Hizi ni kama ununuzi wa Rada na Buzwagi.
 
Looh ngoja nilale kwanza, ila najua hela hizo kwa sasa tayari zipo Kisiwani New Jersey
 
Watanzania tunaachana mbali sana yaani ni kama mbingu na ardhi,imagine mtu mmoja anapokea 1m dollar kwa ushauri!!!!!
 
Yani kila mtu karibia kila stori akitupia hapa Mkekani lazima amtaje Edo!

Naanza kuamini kuwa wenda hata Ule mzigo wa Richmond alitwishwa pasipo yeye kuhusika!

Eti akiwa Mkulu atampa Chenge Upm! aisee hata kama twamchukia si sawa kumlisha kila lililo la kinyaa!
 
Chenge mzee wa vijisenti tunamjua na ufisadi wake yeye na rafiki yake Lowassa hawa waki8ngia wataimaliza tanzania duh kumbe kafuta hadi kwenye escrow itakuwa pesa ya lowassa hiyo
 
Back
Top Bottom