Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,644
Walikuwa wanasali na Vin Diesel..
Umejuaje kama...............
Walikuwa wanasali na Vin Diesel..
nakupenda sana mpenzi. mia
Kwenda zako huko,
Mi ujue natamani sana jkt
kwenda kuishi free
nayatamani sana hayo maisha.
Umejuaje kama...............
Nimetabiri, aliniachia mikoba shehe HAYAHAYA...
hahaa.........naomba unitabirie sa hivi yuko wapi.....maana tangu asubuhi hapokei cm zangu
Mimi ndio nimekutaja...........
Mi na wewe hatunyimani kwakuwa hatujakutana barabarani
Kaizer abee naona umeniita........
There is only one beautiful lady in this world, thats is a Miss from Filipo and she is Miss world now!
Na huyu si mwingine ila ni ubavu katika ubavu wangu, nyama katika nyama zangu, nae ni my wife wangu, mke mwema kutoka kwa mungu! ambae ni .........................................!!!
Mpaka hapo atakapothibitisha na si vinginevyo!
Heaven on earth huyu nae ni shem wangu?
Hapana hapo nitakuwa zoa zoa balaa
Kaizer ni rafiki tu.........
mengine labda itokee tu au sio Heaven on earth