And the winner is............................ ........

Kwenda zako huko,
Mi ujue natamani sana jkt
kwenda kuishi free
nayatamani sana hayo maisha.

Twende tukajikumbushe uzalendo, afu term hii wanaruhusu kwenda kwa pair kama couple... Ndo golden chance yako kupata nafasi na MWENYEKITI, changamkia dili..
cc. chama
 
Last edited by a moderator:
kati ya marejesho una mwingine zaidi ya huyo:? au? hebu tuweke wazi
There is only one beautiful lady in this world, thats is a Miss from Filipo and she is Miss world now!
Na huyu si mwingine ila ni ubavu katika ubavu wangu, nyama katika nyama zangu, nae ni my wife wangu, mke mwema kutoka kwa mungu! ambae ni .........................................!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom