mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,584
- 11,659
Pamoja na wewe ambaye ufatilii habari,Ninachokijua mimi ni kwamba hii nchi imejaa "wazembe" wengi sana, na akitokea mtu wa kukemea uzembe hadharani mnaanza kulia lia kama wewe unavyolia lia hapa. Lazima mtanyooka tu na kuacha uzembe, baada ya 2025 wazembe watakuwa wamepungua sana Tanzania.